nyamatongo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 753
- 1,030
Kwanza tambua afya yako ni kitu cha msingi sana ktk maisha yako. Mwisho jiamini juhudi zako mafanyikio yako.
Huu nilisha usoma, ni uzi mzuri mno.![]()
Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years
Utu uzima dawa! Mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache, kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika). Naongelea mabadiliko ya makuzi kihomoni, kimtazamo, kimahusiano na kifikra pia. Kwanza lazima...www.jamiiforums.com
NI KWAMBA LOLOTE LIWAKUTE...Uta shangaa Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah nao wana kuja kuji fanya waalimu, aisee hatu taki
View attachment 3276425
Ana hisi kuweka hela mpesa ni uboya, haya Nampa chance twende equity au crdb ChapSio kweli mkuu , pesa ni pesa na popote unapoiona iheshimu au heshimu wanayo imiliki😁
Kaka hawa nyumbu wenye dharau ndogo ndogo na za rejareja niachie😁katibu Usha piga 2-3 ehh😁
kutambua kwako kibubu cha kampuni ya mawasiliano kuwa ni sehemu ya kuringishia hela, kumetosha kukutoa kwenye hicho unachokiita battle.Vipi una taka tu battle wapi equity au crdb?
wana kelele nyingi sana 😂Kaka hawa nyumbu wenye dharau ndogo ndogo na za rejareja niachie😁
Sio kweli mkuu , pesa ni pesa na popote unapoiona iheshimu au heshimu wanayo imiliki
point no.6Mpendwa Mdogo wangu yafuatayo nimeona katika maisha yangu mpaka umri huu na huu ni ushauri wangu,kwa sababu mimi ni mwanaume nitakuambia ya kiume na kama baba mwenye watoto.
1.Maisha ni jinsi unavyo yachukulia, ukitaka yawe mepesi rahisisha mahitaji yako au ongeza kipato chako.
ukiwa kijana ukiyarahisisha kwa kuwa na viwango vya chini utalala sehemu rahisi unatakula rahisi,utasafiri kirahisi,utakojoa sehem rahisi(Elewa neno kukojoa) ila havitakua na ubora.
Ukiyarahisisha kwa kuongeza kipato ni kinyume chake,uta fanya vyote kwa gharama kiasi ila mara nyingi vitakua na ubora.(Elewa mara nyingi)
2.Ukioa utakua chanzo cha furaha ya mwenza wako au huzuni, wanawake wanahitaji muda na matunzo lakini pia hakikisho la kesho yake na watoto wake (Kama mtajaariwa watoto)
Furaha yako itatokana na maisha yako unavyotaka yawe sio mkeo
3.Kumbuka ibada,kwa imani yako( sali,jumuika na watu mtukuze muumba wako to sadaka) kwenye nyumba za ibada.
3.Ishi vizuri na watu, waheshimu wakubwa na wadogo,usiwe mwepesi kudharau watu hasa wazee mara nyingi shida huturudisha au kutupeleka kwa watu tulio wadharau.
4.Jiimarishe, uwe bora zaidi ya jana, fikiri tofauti zaidi ya jana, panga malengo zaidi ya mwaka jana
5.Kuwa mtu wa kiasi,Kunywa kiasi,cheka kiasi,Pumzika kiasi,jumuika kiasi,kuwa nanhuruma kiasi. Kula kiasi zungumza kiasi,uww na marafiki kiasi
6.Ngono ni Anguko la vijana wengi,Tafuta mwanamke mmoja unae mmudu,anaesikia,Ishi hapo,wanaume wengi wanamaliza hela kuchungulia sana wanawake.
7.Nunua Ardhi, hata kama ni nje ya mji,sio lazima Dar,hapo hapo ulipo kuna nje ya mji,ardhi inakua thamani kila siku.
8.Wapende wazazi wako,watoto wako na mkeo ukijaliwa,wahudumie
Legacy.
Kamwe siwezi kuwa chini ya raisi mjinga, wewe ukiona kuna raisi wangu kakugaragaza mpaka ukaniita mimi , jua kwanza haunizidi kwa chochote ,naongelea mpka nguvu za kiume , na huwa nikijibu nimekuonea huruma tu😆😆😆🤣🤣🤣 umeona sio mbaya kumsaidia Rais wako, mi nilikuita ili uje uone ninavyo mgaragaza.
hahahaaaNdo kama hawa
kabisaLinda kibunda chako
🤣🤣🤣 majoblesi mtabaki hivyo daima yaani tunaongea kuhusu hela wewe unawaza ngono!haunizidi kwa chochote ,naongelea mpka nguvu za kiume , na huwa nikijibu nimekuonea huruma tu😆😆😆
😁😁😁 kaka jieshishimu🤣🤣🤣 majoblesi mtabaki hivyo daima yaani tunaongea kuhusu hela wewe unawaza ngono!
Haya hizo nguvu za kiume zinakuingizia pesa kiasi gani kwa dakika?
mtoto aki lala ana jiona Forbes. 😂😁Kamwe siwezi kuwa chini ya raisi mjinga, wewe ukiona kuna raisi wangu kakugaragaza mpaka ukaniita mimi , jua kwanza haunizidi kwa chochote ,naongelea mpka nguvu za kiume , na huwa nikijibu nimekuonea huruma tu😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sawa mkuu 🖐🤚 🖐🤚 🖐🖐😁😁😁 kaka jieshishimu