Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Dogo kama uko below 25 na umepata japo 2M nunua kiwanja kilichopimwa sehemu inayokua then kitunze then tukutane 2035 ukiwa na 35 na wewe then uza.
 
Mwamini Mungu atakuamini
Mheshimu Mungu atakuheshimisha.
Mpende Mungu atakupenda.

Watu wote unaowaona wanapita lakini Mungu hatokuacha ukiwa naye.

Kufanikiwa kwenye maisha ni kumjua aliyekuumba.
Kumjua aliyekuumba ni kujua kusudi Lako Duniani.

Vitu vya kupita visikusumbue. Ishi na Wala maisha usiyachukulie serious kivile
 
Sawa
 
1.Marafiki marafiki marafiki marafiki x70 hao ndiyo watakaoamua halinl ya maisha yako.

2.Chunga sana watu unaoshinda nao kila siku wana vision au ni vipofu. Wana Misson au mishe?.

3.Tafuta roll models wako wanaojielewa/kufanikiwa uwe karibu nao everyday.
Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.

Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.

Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.

I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
 
1.Marafiki marafiki marafiki marafiki x70 hao ndiyo watakaoamua halinl ya maisha yako.

2.Chunga sana watu unaoshinda nao kila siku wana vision au ni vipofu. Wana Misson au mishe?.

3.Tafuta roll models wako wanaojielewa/kufanikiwa uwe karibu nao everyday.
Sawa mkuu, wana sema show me your friends, and I tell you what your future is.
 
1: Usiendekeze mademu na pombe. Kama umeoa focus kutengeneza mitego ya kunasia pesa achana kabisa na mademu. Zingatia sisi wanaume wengi tunakua masikini kwa sababu ya wanawake na pombe. Narudia tena ACHA POMBE NA WANAWAKE. Hivi vitu viwili vinatembea kwa pamoja na vina maliza pesa
2 : Acha matumizi yasiyo kua ya msingi. Sio kila unacho kiona unataka kununua. Kama wewe bado nikijana mdogo anza kutunza pesa hata kama nikidogo kidogo tunza akili itakapo pevuka nakuanza kuawaza mambo ya maisha tayari wewe mtaji unakua nao. Anza leo tunza pesa kidogo kidogo
3: Usisikilize sana ushauri wa watu watakuchanganya .
4.: Epuka kukaa vijiweni. Hakuna kazi yoyote hua zinafanyija vijiweni tofaiti na kujadili mafanikio ya watu walio fanikiwa . Kwepa kukaa kijiweni tafuta pesa ili hao wanaokaa vijiweni waanze kujadili mafanijii yako
5: Tafuta kazi ya kufanya hata kama ni ngumu. Dunia haiweleki acha kupoteza muda kuilamu serikali
6: Muombe sana Mungu , Fanya kazi kwa bidii utafanikiwa
7: Usikate tamaa , wala usiwe mvivu
 
barikiwa Sana mkuu
 
Back
Top Bottom