Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

kwasababu ndipo anguko kuu lilipo.Unataka nikwambie usifanye🤗🤗🤗🤗fanya ila fanya kama mtu mwenye kujitambua.

Ukishindwa jizuie of which wengi hawawezi kuhimili.So what next fanya ila kwa tahadhari na tahadhari nimekupa🤝

Gari ni irizi ya mjapani kunasia mademu.Kama hutaki kuwa unaongea sana miliki gari kama unauwezo, kama huna endelea kujitafuta.

Gari ni basic need ukishindwa kabisa miliki hata TERIOS KID.Kijigari kidogo na hakina gharama. Kwa kibongo bongo SOCIAL VALUE inaongezeka ukimiliki gari.
aisee😂😂
 
Hakuna mafanikio ya peke yako na Fursa haiji mara nyingi, unapoipata hakikisha umezungukwa na watu sahihi, hakikisha unaitumia vizuri ikutunze siku za mbeleni. Umepiga dili lako ukapata pesa, usiwe na wenge, tulia angalia nani mwenye akili wa kumpa pasi mkafanikiwa pamoja.
 
Mh nimejikuta nacheka tu .
Sijui nikushauri nini mdogo wangu maana hautanielewa mimi mwenyewe life limenibonda nikisema nikushauri kuhusu uchumi utaishia kusema wewe mbona pangu pakavu .

Anyway ,yaepuke sana madawa ya kulevya hasa heroin ,cocaine na mengineyo japo bangi haina shida sana mdogo wangu bila kusahau pombe aisee POMBE ,NARUDIA TENA POMBE ACHA NIACHE TU ILA POMBE SIO AISEE
 
pombe nilisha ona ime wapoteza wengi, uchumi siuchukuliagi serious kivile.
 
Achaneni na wanawake matapeli, msikimbilie kufunga pingu za maisha na mwanamke tu eti kwa kigezo ana tako na ni mrembo, tafuteni fursa mbalimbali nnje ya mipaka ya nchi yenu , kama hauvunji sheria za nchi na kutweza utu wa mtu usiogope chochote , hata hicho kingereza chako cha ugoko unaweza vimba nacho kikakukutanisha na fursa za maana tu........ itaendelea
Aisee
 
Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.

Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.

Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.

I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Tumeshasema

Ushauri unatolewa siku ya ijumaa
 
I'm still children 😁😁

Bado sijavuka 35 brother, nina ya kusema lakini naamini pia wengi washayasema. Ngoja nipitie thread kwanza

Asante intel kwa mention
hiyo children ya wapi?, ni "I'm just a young man".

kaka si nime pata yule mpole, adabu, sema😂😂
 
78 yrs here speaking. Nitaandika kwa kirefu kidogo na kwa uwazi. Kama kijana mmoja atasaidika basi itakuwa poa sana!

Iko hivi. Kama unataka utoboe huku 65+ hakikisha una furaha, huna wivu wa ******* na usijilinganishe na mtu. Vinginevyo utaRIP mapema tu kwa kushambuliwa na moyo wako mwenyewe au harusi huko juu ubongoni. Unaipataje furaha? Nao liseni vere keafuli:

➡️➡️ 1. Linda sana afya yako. Asikudanganye mtu: Afya yako ndo kila kitu. Under 35 unaweza kujiona mwamba lakini hiki ndicho kipindi cha kuepuka presha, kisukari, matatizo ya moyo, baadhi ya saratani na magonjwa mengine mengi yasiyo ya kuambukiza huko mbele ya safari. Kati ya majuto makuu niliyonayo ni kunywa pombe sana na kuponda raha kupitiliza ukiwemo ulaji wa hovyo huko nyuma. Japo nimeweza ku-reverse karibu kila kitu kilichokuwa kimeanza kwenda mrama (pre-diabetic, BP, acute sleep apnea, obesity....) na kuwa sawa lakini imenigharimu sana (muda na mengineyo).

Kijana under 35:
  • Punguza au acha kabisa pombe
  • Kamwe usivute sigara wala kutumia ugoro
  • Ogopa sana sukari
  • Angalia usinenepe na kuwa futufutu.
  • Punguza caffeine (energy drink).
  • Angalia mlo wako
  • Anza kuangalia sukari, BP na lehemu.
  • Usitumie boosters za nguvu za kiume
  • Hakikisha hupati UKIMWI 📌📌📌
  • Mazoezi na lishe bora vitakupa uzee safi
  • Anza kujali afya ya ngozi yako ili kuepuka kuchakaa mapema (nione kama unahitaji msaada katika hili)
  • Ukijisikia hauko sawa nenda hospitali.
  • Tumia common sense kwenye kila kitu.
Kumbuka: Hiki ndicho kipindi cha kuweka misingi ya afya njema ukifika huku 45+. Na bila kuwa na afya njema huwezi kufurahia maisha. Kwa kifupi hakikisha huandai mazingira ya kuja kupata BP, kisukari na ishu zingine sugu huku mbele ya safari.

➡️➡️ 2. Uchumi: Hata kama hutakuja kuwa tajiri wa kupigiwa mfano lakini hakikisha una uwezo wa kupata mahitaji yako ya msingi bila kusumbua watu. Ukiumwa ujitibu. Ule cho chote unachotaka. Uende po pote unapotaka na ufanye cho chote unachotaka bila kutegemea misaada ya watoto wako, ndugu, jamaa, marafiki na wasamaria wema. Under 35 ndiyo kipindi kizuri cha kuanza kuweka misingi sahihi ya kuja kuwa na uzee wenye neema na mibaraka. Ukikichezea kipindi hiki, huku mbele kuna majuto makubwa yanakusubiri kmmk!

➡️➡️3. Kua kihisia - Emotional Intelligence (EI). Usipokuwa na emotional intelligence kubwa maisha yatakuendesha maana kila kitu kwako ni crisis ushapaniki presha iko juu unataka kufa. Hii itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuchukulia mabaya yanayokutokea (zikiwemo hekaheka za mapenzi) kama sehemu muhimu ya maisha maana maisha bila hekaheka na amsha amsha yanaboa kishenzi 👋. Usipokuwa na emotional intelligence (EI) kubwa utaishi maisha ya wasiwasi, hasira, stress, nuksi na kuudhi watu; na utakuwa mgumu sana kupendeka.

Unapataje EI kubwa?
  • Kuwa na utulivu wa kiroho
  • Kupenda kujifunza mambo mapya
  • Kukubali kubadilika kulingana na wakati
  • Kusoma vitabu
  • Kutokujilinganisha na watu wengine
  • Kutambua kwamba kila mtu unayekutana naye ana matatizo anayopambana nayo; na pengine makubwa kuliko uliyonayo.
  • Kutokulalamika na kulaumu wengine.
  • Kutambua kwamba maisha yako ni jukumu lako 100%; na kwamba hakuna mtu aliyezaliwa ili aje akupe maisha mazuri (labda wazazi wako - kama bado wapo na bado uko under 18).
  • Kuwa mtu mwema; na kusaidia wengine.
  • Jenga familia/mahusiano yenye upendo
  • Jifunze kusamehe.
  • Jitambue na kujithamini; na usitake kupendwa na kila mtu
  • Kutambua kwamba mwisho wa yote kuna kifo kinakusubiri; na hizi hekaheka zote zitakoma.
Nadhani kwa sasa haya yanatosha. Tabia yangu ya kupenda kujifunza mambo na kuangalia watu katika upande chanya hivi karibuni ilinikutanisha na rafiki wa kipekee sana maishani mwangu. Polepole na kwa uvumilivu mkubwa pamoja na maumivu rafiki yangu huyu aliweza kunionyesha kwamba sikuwa sawa katika hilo eneo la emotional intelligence. Japo sikujua lakini kumbe nilikuwa ni mmoja wa wale watu wenye hasira za haraka haraka tu. Watu ambao jambo dogo tu wameshakasirika halafu baadaye wakipoa wanaanza kujuta (They hurt themselves more by trying to hurt others). Safari ya miaka mitatu hivi na rafiki yangu huyu kutoka kwa Mungu hatimaye imenitoa huko mpaka wanangu na wajukuu zangu wanasema "umekuwaje wewe?". Kusema kweli nimekuwa calm sana na siyo yule mtu wa kuona mlima kwenye kila tatizo hata kama tatizo lenyewe lina kimo cha kichuguu...and looking back sasa ninaweza kuona ni kwa nini hata baadhi ya mahusiano yangu huko nyuma hayakufanikiwa kwa sababu mimi sikuwepo kwenye mahusiano yale kwa jinsi mtu mwenye upendo wa kweli anavyopaswa kuwa. High emotional Intelligence inakupa uwezo wa kuliangalia jambo katika upana wake na kupima outcomes na consequences zake mbalimbali kabla hujaamua kulitolea uamuzi. Tena unafanya hivyo kwa hekima na busara. Matokeo yake ni amani ya kweli, utulivu wa fikra na mkong'osio wa roho na mwili. Total tranquility!

Asante sana rafiki yangu uliyejitolea miaka yako mitatu kusafiri nami na kutumia kipawa chako ulichopewa na Mungi ili kuhakikisha kuwa nimekuwa mtu mpya - baba bora kwa wanangu, rafiki wa kupigiwa mfano, binadamu mvumilivu, mtu anayejitambua, kiumbe anayependeka na.....
 
78 yrs here speaking. Nitaandika kwa kirefu kidogo na kwa uwazi. Kama kijana mmoja atasaidika basi itakuwa poa sana!

Iko hivi. Kama unataka utoboe huku 65+ hakikisha una furaha, huna wivu wa ******* na usijilinganishe na mtu. Vinginevyo utaRIP mapema tu kwa kushambuliwa na moyo wako mwenyewe au harusi huko juu ubongoni. Unaipataje furaha? Nao liseni vere keafuli:

1. Linda sana afya yako. Asikudanganye mtu: Afya yako ndo kila kitu. Under 35 unaweza kujiona mwamba lakini hiki ndicho kipindi cha kuepuka presha, kisukari, matatizo ya moyo, baadhi ya saratani na magonjwa mengine mengi yasiyo ya kuambukiza huko mbele ya safari. Kati ya majuto makuu niliyonayo ni kunywa pombe sana na kuponda raha kupitiliza ukiwemo ulaji wa hovyo huko nyuma. Japo nimeweza ku-reverse karibu kila kitu kilichokuwa kimeanza kwenda mrama (pre-diabetic, BP, acute sleep apnea, obesity....) na kuwa sawa lakini imenigharimu sana (muda na mengineyo).

Kijana under 35:
  • Punguza au acha kabisa pombe
  • Kamwe usivute sigara wala kutumia ugoro
  • Ogopa sana sukari
  • Angalia usinenepe na kuwa futufutu.
  • Punguza caffeine (energy drink).
  • Angalia mlo wako
  • Anza kuangalia sukari, BP na lehemu.
  • Usitumie boosters za nguvu za kiume
  • Hakikisha hupati UKIMWI 📌📌📌
  • Mazoezi na lishe bora vitakupa uzee safi
  • Anza kujali afya ya ngozi yako ili kuepuka kuchakaa mapema (nione kama unahitaji msaada katika hili)
  • Ukijisikia hauko sawa nenda hospitali.
  • Tumia common sense kwenye kila kitu.
Kumbuka: Hiki ndicho kipindi cha kuweka misingi ya afya njema ukifika huku 45+. Na bila kuwa na afya njema huwezi kufurahia maisha. Kwa kifupi hakikisha huandai mazingira ya kuja kupata BP, kisukari na ishu zingine sugu huku mbele ya safari.

2. Uchumi: Hata kama hutakuja kuwa tajiri wa kupigiwa mfano lakini hakikisha una uwezo wa kupata mahitaji yako ya msingi bila kusumbua watu. Ukiumwa ujitibu. Ule cho chote unachotaka. Uende po pote unapotaka na ufanye cho chote unachotaka bila kutegemea misaada ya watoto wako, ndugu, jamaa, marafiki na wasamaria wema. Under 35 ndiyo kipindi kizuri cha kuanza kuweka misingi sahihi ya kuja kuwa na uzee wenye neema na mibaraka. Ukikichezea kipindi hiki, huku mbele kuna majuto makubwa yanakusubiri kmmk!

Kua kihisia - Emotional Intelligence (EI). Usipokuwa na emotional intelligence kubwa maisha yatakuendesha maana kila kitu kwako ni crisis ushapaniki presha iko juu unataka kufa. Hii itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuchukulia mabaya yanayokutokea (zikiwemo hekaheka za mapenzi) kama sehemu muhimu ya maisha maana maisha bila hekaheka na amsha amsha yanaboa kishenzi 👋. Usipokuwa na emotional intelligence (EI) kubwa utaishi maisha ya wasiwasi, hasira, stress, nuksi na kuudhi watu; na utakuwa mgumu sana kupendeka.

Unapataje EI kubwa?

  • Kuwa na utulivu wa kiroho
  • Kupenda kujifunza mambo mapya
  • Kukubali kubadilika kulingana na wakati
  • Kusoma vitabu
  • Kutokujilinganisha na watu wengine
  • Kutambua kwamba kila mtu unayekutana naye ana matatizo anayopambana nayo; na pengine makubwa kuliko uliyonayo.
  • Kutokulalamika na kulaumu wengine.
  • Kutambua kwamba maisha yako ni jukumu lako 100%; na kwamba hakuna mtu aliyezaliwa ili aje akupe maisha mazuri (labda wazazi wako - kama bado wapo na bado uko under 18).
  • Kuwa mtu mwema; na kusaidia wengine.
  • Jenga familia/mahusiano yenye upendo
  • Jifunze kusamehe.
  • Jitambue na kujithamini
  • Kutambua kwamba mwisho wa yote kuna kifo kinakusubiri; na hizi hekaheka zote zitakoma.

Nadhani kwa sasa haya yanatosha. Tabia yangu ya kupenda kujifunza mambo na kuangalia watu katika upande chanya hivi karibuni ilinikutanisha na rafiki wa kipekee sana maishani mwangu. Polepole na kwa uvumilivu mkubwa pamoja na maumivu rafiki yangu huyu aliweza kunionyesha kwamba sikuwa sawa katika hilo eneo la emotional intelligence. Japo sikujua lakini kumbe nilikuwa ni mmoja wa wale watu wenye hasira za haraka haraka tu. Watu ambao jambo dogo tu wameshakasirika halafu baadaye wakipoa wanaanza kujuta (They hurt themselves more by trying to hurt others). Safari ya miaka mitatu hivi na rafiki yangu huyu kutoka kwa Mungu hatimaye imenitoa huko mpaka wanangu na wajukuu zangu wanasema "umekuwaje wewe?". Kusema kweli nimekuwa calm sana na siyo yule mtu wa kuona mlima kwenye kila tatizo hata kama tatizo lenyewe lina kimo cha kichuguu...and looking back sasa ninaweza kuona ni kwa nini hata baadhi ya mahusiano yangu huko nyuma hayakufanikiwa kwa sababu mimi sikuwepo kwenye mahusiano yale kwa jinsi mtu mwenye upendo wa kweli anavyopaswa kuwa. High emotional Intelligence inakupa uwezo wa kuliangalia jambo katika upana wake na kupima outcomes na consequences zake mbalimbali kabla hujaamua kulitolea uamuzi. Tena unafanya hivyo kwa hekima na busara. Matokeo yake ni amani ya kweli, utulivu wa fikra na mkong'osio wa roho na mwili. Total tranquility!

Asante sana rafiki yangu uliyejitolea miaka yako mitatu kusafiri nami na kutumia taaluma yako ya saikolojia ili kuhakikisha kuwa nimekuwa mtu mpya - baba bora kwa wanangu, rafiki wa kupigiwa mfano, binadamu mvumilivu, mtu anayejitambua, kiumbe anayependeka na.....
hapo kwenye kukua ki hisia nili amua kuwa kuanzia mwaka huu sishituki au kusababishiwa hasira kwa normal issues.

Japo ni long run issue ila angalau mwanga una onekana, hata humu sija mind toka nirudi.

kuhusu sigara, pombe, uzinzi mimi sio shabiki wa mambo hayo, Asante kwa ushauri mzuri 🙏
 
Wewe unajisifu kubaki njia kuu, kula mademu as much as you can broo

Sambaza hao wazungu 🤣unabeba uzito kwenye mbupu
 
78 yrs here speaking. Nitaandika kwa kirefu kidogo na kwa uwazi. Kama kijana mmoja atasaidika basi itakuwa poa sana!

Iko hivi. Kama unataka utoboe huku 65+ hakikisha una furaha, huna wivu wa ******* na usijilinganishe na mtu. Vinginevyo utaRIP mapema tu kwa kushambuliwa na moyo wako mwenyewe au harusi huko juu ubongoni. Unaipataje furaha? Nao liseni vere keafuli:

➡️➡️ 1. Linda sana afya yako. Asikudanganye mtu: Afya yako ndo kila kitu. Under 35 unaweza kujiona mwamba lakini hiki ndicho kipindi cha kuepuka presha, kisukari, matatizo ya moyo, baadhi ya saratani na magonjwa mengine mengi yasiyo ya kuambukiza huko mbele ya safari. Kati ya majuto makuu niliyonayo ni kunywa pombe sana na kuponda raha kupitiliza ukiwemo ulaji wa hovyo huko nyuma. Japo nimeweza ku-reverse karibu kila kitu kilichokuwa kimeanza kwenda mrama (pre-diabetic, BP, acute sleep apnea, obesity....) na kuwa sawa lakini imenigharimu sana (muda na mengineyo).

Kijana under 35:
  • Punguza au acha kabisa pombe
  • Kamwe usivute sigara wala kutumia ugoro
  • Ogopa sana sukari
  • Angalia usinenepe na kuwa futufutu.
  • Punguza caffeine (energy drink).
  • Angalia mlo wako
  • Anza kuangalia sukari, BP na lehemu.
  • Usitumie boosters za nguvu za kiume
  • Hakikisha hupati UKIMWI 📌📌📌
  • Mazoezi na lishe bora vitakupa uzee safi
  • Anza kujali afya ya ngozi yako ili kuepuka kuchakaa mapema (nione kama unahitaji msaada katika hili)
  • Ukijisikia hauko sawa nenda hospitali.
  • Tumia common sense kwenye kila kitu.
Kumbuka: Hiki ndicho kipindi cha kuweka misingi ya afya njema ukifika huku 45+. Na bila kuwa na afya njema huwezi kufurahia maisha. Kwa kifupi hakikisha huandai mazingira ya kuja kupata BP, kisukari na ishu zingine sugu huku mbele ya safari.

➡️➡️ 2. Uchumi: Hata kama hutakuja kuwa tajiri wa kupigiwa mfano lakini hakikisha una uwezo wa kupata mahitaji yako ya msingi bila kusumbua watu. Ukiumwa ujitibu. Ule cho chote unachotaka. Uende po pote unapotaka na ufanye cho chote unachotaka bila kutegemea misaada ya watoto wako, ndugu, jamaa, marafiki na wasamaria wema. Under 35 ndiyo kipindi kizuri cha kuanza kuweka misingi sahihi ya kuja kuwa na uzee wenye neema na mibaraka. Ukikichezea kipindi hiki, huku mbele kuna majuto makubwa yanakusubiri kmmk!

➡️➡️3. Kua kihisia - Emotional Intelligence (EI). Usipokuwa na emotional intelligence kubwa maisha yatakuendesha maana kila kitu kwako ni crisis ushapaniki presha iko juu unataka kufa. Hii itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuchukulia mabaya yanayokutokea (zikiwemo hekaheka za mapenzi) kama sehemu muhimu ya maisha maana maisha bila hekaheka na amsha amsha yanaboa kishenzi 👋. Usipokuwa na emotional intelligence (EI) kubwa utaishi maisha ya wasiwasi, hasira, stress, nuksi na kuudhi watu; na utakuwa mgumu sana kupendeka.

Unapataje EI kubwa?
  • Kuwa na utulivu wa kiroho
  • Kupenda kujifunza mambo mapya
  • Kukubali kubadilika kulingana na wakati
  • Kusoma vitabu
  • Kutokujilinganisha na watu wengine
  • Kutambua kwamba kila mtu unayekutana naye ana matatizo anayopambana nayo; na pengine makubwa kuliko uliyonayo.
  • Kutokulalamika na kulaumu wengine.
  • Kutambua kwamba maisha yako ni jukumu lako 100%; na kwamba hakuna mtu aliyezaliwa ili aje akupe maisha mazuri (labda wazazi wako - kama bado wapo na bado uko under 18).
  • Kuwa mtu mwema; na kusaidia wengine.
  • Jenga familia/mahusiano yenye upendo
  • Jifunze kusamehe.
  • Jitambue na kujithamini; na usitake kupendwa na kila mtu
  • Kutambua kwamba mwisho wa yote kuna kifo kinakusubiri; na hizi hekaheka zote zitakoma.
Nadhani kwa sasa haya yanatosha. Tabia yangu ya kupenda kujifunza mambo na kuangalia watu katika upande chanya hivi karibuni ilinikutanisha na rafiki wa kipekee sana maishani mwangu. Polepole na kwa uvumilivu mkubwa pamoja na maumivu rafiki yangu huyu aliweza kunionyesha kwamba sikuwa sawa katika hilo eneo la emotional intelligence. Japo sikujua lakini kumbe nilikuwa ni mmoja wa wale watu wenye hasira za haraka haraka tu. Watu ambao jambo dogo tu wameshakasirika halafu baadaye wakipoa wanaanza kujuta (They hurt themselves more by trying to hurt others). Safari ya miaka mitatu hivi na rafiki yangu huyu kutoka kwa Mungu hatimaye imenitoa huko mpaka wanangu na wajukuu zangu wanasema "umekuwaje wewe?". Kusema kweli nimekuwa calm sana na siyo yule mtu wa kuona mlima kwenye kila tatizo hata kama tatizo lenyewe lina kimo cha kichuguu...and looking back sasa ninaweza kuona ni kwa nini hata baadhi ya mahusiano yangu huko nyuma hayakufanikiwa kwa sababu mimi sikuwepo kwenye mahusiano yale kwa jinsi mtu mwenye upendo wa kweli anavyopaswa kuwa. High emotional Intelligence inakupa uwezo wa kuliangalia jambo katika upana wake na kupima outcomes na consequences zake mbalimbali kabla hujaamua kulitolea uamuzi. Tena unafanya hivyo kwa hekima na busara. Matokeo yake ni amani ya kweli, utulivu wa fikra na mkong'osio wa roho na mwili. Total tranquility!

Asante sana rafiki yangu uliyejitolea miaka yako mitatu kusafiri nami na kutumia taaluma yako ya saikolojia ili kuhakikisha kuwa nimekuwa mtu mpya - baba bora kwa wanangu, rafiki wa kupigiwa mfano, binadamu mvumilivu, mtu anayejitambua, kiumbe anayependeka na.....
Hii hip hop uliyopiga hapa yenyewe kabisa kaka mkubwa..!! Igweeeeeeeeeeee 🫡
 
Back
Top Bottom