Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

I still repeat

No man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary.
 
Unatumia kilevi gani? Yaani mtu akushauri kitu gani sasa? Weka tatzo lako hapa ushauriwe na si kuvuta mibangi na kukimbilia kuanzisha uzi.
Kakwambia anavuta?
 
hahaha!
Za mwizi arobaini.

Nimeamka kusali hapa na kutana na thread ya janja aka kinda!!
 
Usitegemee pesa ya kula ambayo haipo mfukoni kwako kama cash utakuja kulala na njaa kimasihara..

Pesa haitafutwi inawekewa mtego alafu unatulia zako, sisi ambao tulikosea kuweka mtego Wacha tuendelee kuzitafuta
Dah..!!! ***** wallah...
 
Msidanganyike mkaoa hawa wanawake sio ndiowanafanya ndoto zetu wanaume zinakufa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…