Kweli wewe mtotoMimi sio 35+ ila nakushauri
Tafuta pesa. Usijiingize kwenye mahusiano kama huna pesa au bado unajitafuta. Huo ndio ushauri pekee nakupa.
Usiogope kama hujapata hela mara nyingi kupata hela nyingi ukiwa mdogo 20's ni hatari kwa umri huo siyo rahisi ku maintain hizo hela mpaka uzeeni sababu unakuwa mtoto so hela kupata 35+ unakuwa more matured na una busara fulani na nikuambie kitu hata ukifika 50 bado utajiona unahitaji vitu so be calm fanya mipango you are not late!Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Hahaha kwanini ume mwambia hivyoKweli wewe mtoto
Mi nalala sheikh, Maana hapa niki weka movie sito lala 😂😂Nilila mapema Jana usingiz umekata 😂🙌
Unalalag masaa yako mail safi😂😂Mi nalala sheikh, Maana hapa niki weka movie sito lala 😂😂
Kaka na yule mchuchu niki muoa, nyumba ita Waka moto , 😂 😂Unalalag masaa yako mail safi😂😂
Utabadilika😂🙌Kaka na yule mchuchu niki muoa, nyumba ita Waka moto , 😂 😂
Labda! 😂😂Utabadilika😂🙌
🙌 Unaaga tu ila hulaliOya baadae wazee, kulala sio dhambi
Dah we Jamaa 🤣😂🙌 Unaaga tu ila hulali