Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,549
The Distance between 30+ to 45+ is too short than the distance between 20+ to 30 which is too long.
Majukumu yatakunyoosha sana.
Majukumu yatakunyoosha sana.
Hata ndotoni naya nyoosha Sana, nothing to fear kabisa..
Majukumu yatakunyoosha sana.
Usioe mwanamke mwenye tako kama bado hujapata akili! Utakuja kunishukuruMa brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Nime kusoma vyema mkuu.Usioe mwanamke mwenye tako kama bado hujapata akili! Utakuja kunishukuru
Sawa mkuuJitahidi kuwatofautisha "Mtu na Mpenzi wake" kama nani MTU na nani MPENZI
Ndio nasikiliza hip-hop kwa Sana.Umaskiza Hip Hop
Uwe unamskiza Tupac
Sikiliza sana Ngoma ya "CHANGES"
Ongezea na Pac ktk PlaylistNdio nasikiliza hip-hop kwa Sana.
Nawa sikiliza Eminem, Wayne, j Cole kwa sana.
BaridiOngezea na Pac ktk Playlist
1. UNAPOTUKANWA AU KUTANIWA MATANI MAZITO, USIKIMBILIE KUKASIRIKA, CHAMBUA CHAMBUA HAYO MATUSI, KUNA KA UKWELI NDANI YAKE NA UKWELI NI TIBA.Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Shukrani sana1. UNAPOTUKANWA AU KUTANIWA MATANI MAZITO, USIKIMBILIE KUKASIRIKA, CHAMBUA CHAMBUA HAYO MATUSI, KUNA KA UKWELI NDANI YAKE NA UKWELI NI TIBA.
2. NENDA KOKOTE NA POPOTE, USIJETUKANA WAZAZI AU KUWAPIGA AU KUWAKOROMEA KAMA VILE NI WASHIKAJI ZAKO, LAANA HAINA CHA MSOMI, LAANA HAINA CHA DINI, LAANA HAINA CHA TAJIRI NA LAANA HAINA CHA MJINI POPOTE ITAKUFUATA NA UTAISHI MAISHA MAGUMU SANA.
3. KUHUSU WANAWAKE SIKUSHAURI CHOCHOTE MAANA HAWANA FORMULA KAMA MAISHA. ISIPOKUWA MAMAKO MZAZI NDO MWANAMKE PEKEE ANAWEZA KUKUVUMILIA UJINGA WAKO NA ANGUKO LAKO, THE REST SINA UHAKIKA KAMA WANAWEZA
SawaMbele ya fedha swadaka zaka kifta jasho usimwamni mtu yoyote