Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Usitegemee pesa ya kula ambayo haipo mfukoni kwako kama cash utakuja kulala na njaa kimasihara..

Pesa haitafutwi inawekewa mtego alafu unatulia zako, sisi ambao tulikosea kuweka mtego Wacha tuendelee kuzitafuta
bro hii point ali niambia mentor wangu nikiwa 19, aisee naelewa sana.
 
Back
Top Bottom