Johnie2323
JF-Expert Member
- Dec 12, 2024
- 304
- 298
Sawa
samahani, Naomba uni tag Ile story ya analyse, aliyo mpa mimba mtoto wa mentor wakw.Nimefika.
Lioneee!😂 Aya nakutagsamahani, Naomba uni tag Ile story ya analyse, aliyo mpa mimba mtoto wa mentor wakw.
haya shemeji 😂😆Lioneee!😂 Aya nakutag
Una kaka unataka kunipa?haya shemeji 😂😆
lengo lako nigombane na analyse ehh?Una kaka unataka kunipa?
kuna kosa dogo hapo..usitafute pesa kuwa bora pesa itakutafuta wewe.. wekeza kwako (mind,body/energy and spirit) kiasi kwamba ukitokezea,ukiongea nk you can't be ignored...thats how you become money ,thats how you become great.Goodluck 🙂Mkuu hapo umeongea jambo la msingi sana nitalizingatia pia
Uchumi mzuri ndo makeup ya mwanamme. Usitafute pesa wala kusubiri kupewa. Jijengee mifereji ya mafanikio kupitia mfumo wa mzunguko mzuri wa thamani. Utajiri hauji kwa kazi kubwa wala kuiba, bali kwa kutatua shida za jamii.Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
kwamba time pewa free will, ila yeye kachagua kuwa zoba 😂😆Michango yake ya kifaller sana mkuu, basi tu duniani kuna uhuru wa maoni🤣
Barikiwa kwa hekima nzuri mkuu.Uchumi mzuri ndo
Uchumi mzuri ndo makeup ya mwanamme. Usitafute pesa wala kusubiri kupewa. Jijengee mifereji ya mafanikio kupitia mfumo wa mzunguko mzuri wa thamani. Utajiri hauji kwa kazi kubwa wala kuiba, bali kwa kutatua shida za jamii.
Jifunze kutumia pesa pungufu ya kile unachokipata. Embrace the 5 to 25 money principle.
Kuwa na mifereji mingi ya kipato.
Punguza muda na TV.
Kuwa na familia ni bora kuliko kuwa single. Ukipata mwanamke mzuri, mshukuru Mungu. Ila usimtwishe mzigo wa punda na kumfanya kuwa begi la mgongoni.
Ukipata unayedhani ni mbaya (na hili ukagundua baada ya kuoa. Bora asiwe muuaji), komaa na msaidie kuimprove. Usihangaike kumtafuta Mrs perfect (labda akuache). Utatawanya mibaraka yako. Na epuka nyumba ndogo.
ACHANA na picha za uchi na kupiga punyeto. Hazitakusaidia.
Jenga Imani yako. Maisha ina panda shuka za ajabu. Mungu ndo gundi ashikaye vyote (the center that glues everything together).
Usihesabu rafiki zako kwa Idadi, bali kwa thamani (count your friends by value not quantity). Epuka wasindikizaji. Utawajua maisha yanapogeuka.
Tafuta mentors. Hujui kila kitu. Watakusaidia kufika uendako haraka.
Jali afya yako. Usile wala kunywa wala kuvuta chochote Cheney atari. Jali hasa afya ya akili. Acha kujihurumia hurumia na kuwa na mawazo hasi. Wewe ni mtu wa thamani.
Amini hivyo. Utajiri huanza akilini.
Embrace failure. Kubali kufeli. Ni mchakato wa kukua. Jaribu tena na tena mpaka utoboze.
Mwisho, education is overrated. Watu huchanganya shule (schooling) with elimu (education). Tafuta elimu ya kweli. Usipumbazwe na nadharia ya kusoma sana shule dhidi ya kutafuta elimu ya kudumu.
Maisha yote dhamiria kujifunza (embrace lifelong learning). Soma vitabu kadhaa vinavyoendana na unachotaka kukifanya. Halafu apply. Rinse and repeat.
Nime cheka Sana🤣😂Mbona kama wewe ni mzee kuliko mimi chief unaongeaga kiutu uzima sana, mimi Nina jokes nyingi mno
Familia ni muhimu kwenye maisha yetu ya duniani.Penda mkeo/mmeo na watoto wako, hao ndio watakao kuwa na wewe mpaka mwisho kwenye magumu utakayopitia.
Nb: Uwe umepata mke/mme sahihi, si hao vishoka.
Hahaha, Hana lengo zuri na sisi.Khwahyo mkuu unataka kijana apige puchu?
thanks bro, ushauri mzuri. Wana sema juhudi hazi shindi kudra .Dont rush toward mafanikio, takenyour time. Usimuogie mtu kila mtu ana path yake
Huu ni uomgo bhana 🙄 😆Mkuu mimi Nina miaka 35🤣nakasubiri kabinti Kako
ila bro we miyeyusho , Sasa Kama masta ana zingua tumfanyaje😂😂Ulipewa ushauri juzi unakumbuka?
Lakini ulivyo jeuri na kukosa adabu ukatishia kumpiga Mazeru Master wa Karate.
mwee😂😁Ushauri wa kaeli kabisa huo...wanawake wanagegedwa mbona nje huko sasa ukimuacha huyu utamuacha na yule....kuchapiwa kupo pale pale. Mwanaune pake ambaye hajawahi kuchapiwa ni yule anayepiga nyeto tuu
una jiogopa tuMdogo akimshauri mkubwa si rahisi kuchukulia seriously