Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Hakuna urafiki kazini, we timiza wajibu wako ondoka.
sahihi kabisaHakuna urafiki kazini, we timiza wajibu wako ondoka.
Ushauri wa kaeli kabisa huo...wanawake wanagegedwa mbona nje huko sasa ukimuacha huyu utamuacha na yule....kuchapiwa kupo pale pale. Mwanaune pake ambaye hajawahi kuchapiwa ni yule anayepiga nyeto tuuNyambafu kabisaa😂😂
Usiogope, sio philosophy. Mambo ya kawaida tu 😁usi nisahau kaka, niji funze funze.
🙏🏽🙏🏽I will be more than happy kuchota maarifa yako bro. ASANTE 🙏🏿
Umefunga PM nadhani.. Nitext brotherI will be more than happy kuchota maarifa yako bro. ASANTE 🙏🏿
email 😂😁, mimi naku tumia Whatsapp namba kabisa.Usiogope, sio philosophy. Mambo ya kawaida tu 😁
Tuma email 📧📧
kwani naogopa philosophy Sasa, kitu nacho ogopa kwenda kwa wakwe zangu tu 😆 😁.Usiogope, sio philosophy. Mambo ya kawaida tu 😁
Tuma email 📧📧
Shikamoo brother 🤣mm bado dogo ndo kwanza Nina miaka 35 na miezi 6Ko nyie wote ni wadogo zangu Intelligent businessman Bolotoba Monetary doctor
Hata kama Sina hela, muwe mnanipa, hata shikamoo tu
kwani mwenye hela ni nani?, labda BolotobaKo nyie wote ni wadogo zangu Intelligent businessman Bolotoba Monetary doctor
Hata kama Sina hela, muwe mnanipa, hata shikamoo tu
Duh 🙄, wanangu tutafute hela. La sivyo tuna zingua chapShikamoo brother 🤣mm bado dogo ndo kwanza Nina miaka 35 na miezi 6
Kwanini mkuuDuh 🙄, wanangu tutafute hela. La sivyo tuna zingua chap
miaka 35 halafu life hali someki, Ina bidi ukaze kweli kweli mzee.Kwanini mkuu
🤣Oya baba Niache kwanza ukwani mwenye hela ni nani?, labda Bolotoba
Unanichanganya hata mahusiano Sina chiefmiaka 35 halafu life hali someki, Ina bidi ukaze kweli kweli mzee.
Niki fikisha miaka Yako, msi shangae kuni ona Forbes au kampuni yangu kuwa sehemu fulani.🤣Oya baba Niache kwanza u
Unanichanganya hata mahusiano Sina chief