Mdogo akimshauri mkubwa si rahisi kuchukulia seriouslyInasikitisha kuona wenye umri tajwa au na zaidi hawayachukulii maanani haya mashauri
Mdogo akimshauri mkubwa si rahisi kuchukulia seriouslyInasikitisha kuona wenye umri tajwa au na zaidi hawayachukulii maanani haya mashauri
Khwahyo mkuu unataka kijana apige puchu?Mimi sio 35+ ila nakushauri
Tafuta pesa. Usijiingize kwenye mahusiano kama huna pesa au bado unajitafuta. Huo ndio ushauri pekee nakupa.
una stay celibate tuKhwahyo mkuu unataka kijana apige puchu?
Ni kama anaeshauriwa hayuko teyari kupokea huo ushauri,kuna mjumbe hapo juu kasema ana 78 na kabadilika kwa ushauri aliopewa ndani ya miaka mitatu inamaana alishapita umri huu unaotajwa ila amekubali changes nxani yakeMdogo akimshauri mkubwa si rahisi kuchukulia seriously
Halafu umalize wp haja zako?una stay celibate tu
Utumwa wa karne hii ya zama za taarifa ni Media!(Internet).Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
True mkuuSina cha kuongezea mdogo wangu maana, kama ilivyo kawaida yako, umetema madini tupu! Wewe ni mmoja kati ya watu ambao huwa naamini kuwa una emotional intelligence kubwa sana; na ni mtu unayependa kujisomea. Comments zako ninazokutana nazo huwa zina kitu hai ndanimwe na huwa najifunza mengi.
Umeongea mambo ya msingi sana na natumaini kuwa hawa madogo wa under 35 watajifunza kitu. Ndiyo. Wanaume tuna tabia ya kujisahau sana na ku-prioritize watu wengine. Halafu wakati ukifika tunabaki peke yetu; na matokeo yake ndiyo haya ya kufa mapema tunayoyaona. Kwangu mimi miaka mitatu hii imenifunza mambo mengi ambayo huko nyuma nilikuwa nayachukulia poa.
Tuendelee kujifunza. Tuendelee kubadilika. Tuendelee kujiboresha. Maisha yanatutaka tufanye hivyo! 🙏🏿
I'm humbled mkuu 🙏🏽🙏🏽Huyo mwamba usimchukulie poa. Jaribu kumfuatilia utaona. Kuna wakati mimi huwa nam-search ili kuona kaandika nini. One of the few bros here who are mature, collected, humble and extremely smart!
I'm humbled mkuu🙏🙏, labda mzee Shimba ya Buyenze ani haribu kwa kuni kazania nitafute makima yenye madako matale 😂😁.It takes one to know one.. Wewe great thinker sana maana katika umri unajitafuta. Mimi nilikuwa hostel naangalia movies 😁
usi nisahau kaka, niji funze funze.I'm humbled mkuu 🙏🏽🙏🏽
Ukiwa tayari nitakutumia chapisho langu moja la mtandaoni, unipe review pia😁🙏🏽
Ila wewe akili huna😂Vijana wa 35 Bado hawana ushauri mzuri
I will be more than happy kuchota maarifa yako bro. ASANTE 🙏🏿I'm humbled mkuu 🙏🏽🙏🏽
Ukiwa tayari nitakutumia chapisho langu moja la mtandaoni, unipe review pia😁🙏🏽
Sasa kama hawataki kujiunga VETA, udereva walijifunzia wapi?Mmewmambiwa mjiunge VETA,mmekuwa wakali!
Nyambafu kabisaa😂😂Sasa mbona ushauri wangu ni wa akili
Kwa Shimba ya Buyenze (SYB) always akili za kuambiwa changanya na zako maana sometimes utani ni mwingi mpaka unapitiliza. Ni kwa vile jamaa ni free will na hafungwi na mikatale ya kinafsiya, kijamii, kiroho na mingineyo. Ukimchukulia serious wakati wote utapotea 😂😂😂I'm humbled mkuu🙏🙏, labda mzee Shimba ya Buyenze ani haribu kwa kuni kazania nitafute makima yenye madako matale 😂😁.
Ila ni vile nili chagua free will, maana lasivyo sijui ninge kuwa kituo gani huko nanjilinji !.
naelewa sana nkulu, and that's how life goes.Kwa Shimba ya Buyenze (SYB) always akili za kuambiwa changanya na zako maana sometimes utani ni mwingi mpaka unapitiliza. Ni kwa vile jamaa ni free will na hafungwi na mikatale ya kinafsiya, kijamii, kiroho na mingineyo. Ukimchukulia serious wakati wote utapotea 😂😂😂
View attachment 3278574
aisee hiyo video sifungui😂😂Kwa Shimba ya Buyenze (SYB) always akili za kuambiwa changanya na zako maana sometimes utani ni mwingi mpaka unapitiliza. Ni kwa vile jamaa ni free will na hafungwi na mikatale ya kinafsiya, kijamii, kiroho na mingineyo. Ukimchukulia serious wakati wote utapotea 😂😂😂
View attachment 3278576
mtazamo wako tuVijana wa 35 Bado hawana ushauri mzuri