Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Achana na tamaa mbaya, kama umejiajiri jenga ngome yako ya biashara taratibu, kama umeajiriwa fanya kazi kwa bidii huku ukichunga sana matumizi ya kipato chako. La muhimu kabisa epuka epuka epuka kuwekeza nguvu zako kwa mwanamke ukitegemea atakuheshimu, kukupenda ama kukujali, .....wanawake ni gharama sana kuwacontain...jijenge kwanza.
 
Lakini raha ga pesa ni kuwa na wanawake wengi sio magari na majumba
 
Mweee hiyo ndio muhimu kiliko zote maana ukifanikiwa kupata boss mzungu au mjapan aise utafurahia kazi yako na maisha yatanyooka.

Ole wako udondokee kwa mwafrika...ndio utaishia pata matusi ya rejareja kama haya ya mwenye degree aende veta
mwee ni kweli kabisa, nilisha fatilia ishu fulani kwa ngozi nyeusi mbona nili kalishwa juani massa 6.

sema ngozi nyeupe wapo waarabu hawana nongwa
 
Concentration kwny mambo yako, usjipendekeze kwa mtu yeyote, hardwork, tafuta mwanamke anayejua kupata na kukosa si wa show off ambaye hawez hata kuuza vitumbua, ridhika na maisha yako, usiishi kwa rafk au nduguyo tafuta chumba hata buku 5 kaa upambane upate cha elfu 50, punguza kuongeaongea wkt mwngne kaa kmy, kama huna issue ya kufanya hasa usku rudi geto mapema utulize akili uspende kurud usku mnene, usidhurumu haki ya mtu, epuka kuwa na marafk wengi, uktemana na mtu mteme kwelikweli, jipende sana, usishndane na mtu.
 
Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.

Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.

Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.

I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Mjitume na muamini process, msiqze kujilinganishq kimaisha na watu wenye umri mkubwa.
 
Achana na tamaa mbaya, kama umejiajiri jenga ngome yako ya biashara taratibu, kama umeajiriwa fanya kazi kwa bidii huku ukichunga sana matumizi ya kipato chako. La muhimu kabisa epuka epuka epuka kuwekeza nguvu zako kwa mwanamke ukitegemea atakuheshimu, kukupenda ama kukujali, .....wanawake ni gharama sana kuwacontain...jijenge kwanza.
sahihi kabisa mkuu
 
Naona hii ya kuoa mabikra nayo inataka kuwa kama movement fulani hivi. Vijana sasa hamtaki kuoa mabinti waliokuwa wameolewa kwa ndoa bubu kwa miaka mitatu huko vyuoni; na mimba wakatoa? Kama mtaoa graduates, hao mabikra mtawapata wapi sasa? Hamjidanganyi tu? 😳
mabikra wapo, tuongee vizuri na wagikulu wise
 
Ni vile hatujuani na hatuonani ila wengi mnatoa kauli za kinafki ambazo Nina uhakika hamziishi
 
Concentration kwny mambo yako, usjipendekeze kwa mtu yeyote, hardwork, tafuta mwanamke anayejua kupata na kukosa si wa show off ambaye hawez hata kuuza vitumbua, ridhika na maisha yako, usiishi kwa rafk au nduguyo tafuta chumba hata buku 5 kaa upambane upate cha elfu 50, punguza kuongeaongea wkt mwngne kaa kmy, kama huna issue ya kufanya hasa usku rudi geto mapema utulize akili uspende kurud usku mnene, usidhurumu haki ya mtu, epuka kuwa na marafk wengi, uktemana na mtu mteme kwelikweli, jipende sana, usishndane na mtu.
Ume Nena vyema mkuu, Asante Sana.
 
Back
Top Bottom