Mbona kama wewe ni mzee kuliko mimi chief unaongeaga kiutu uzima sana, mimi Nina jokes nyingi mnoNiki fikisha miaka Yako, msi shangae kuni ona Forbes au kampuni yangu kuwa sehemu fulani.
Mbona kama wewe ni mzee kuliko mimi chief unaongeaga kiutu uzima sana, mimi Nina jokes nyingi mnoNiki fikisha miaka Yako, msi shangae kuni ona Forbes au kampuni yangu kuwa sehemu fulani.
hizo ni busara tu nilizo nazo, Niki kwambia hata 30 ni mbali mno una weza amini😁😂Mbona kama wewe ni mzee kuliko mimi chief unaongeaga kiutu uzima sana, mimi Nina jokes nyingi mno
Kwahyo Ata wapumbafu nao hufika umri mkubwahizo ni busara tu nilizo nazo, Niki kwambia hata 30 ni mbali mno una weza amini😁😂
sija kuita mpumbafu mzeeKwahyo Ata wapumbafu nao hufika umri mkubwa
Nikitoka veta sitakusahausija kuita mpumbafu mzee
Ukiwa na hiyo miaka, Bahama nchi 😂Shikamoo brother 🤣mm bado dogo ndo kwanza Nina miaka 35 na miezi 6
huta nisahau Kivipi?Nikitoka veta sitakusahau
Kaniona Mimi kilaza sana aisee 😂kwamba Bolotoba katu letea matango pori😁😂
😝Sawa sawa Nina miaka 21 mkuuKaniona Mimi kilaza sana aisee 😂
😁😁 vitu vidogo hivyo visikutishekwani naogopa philosophy Sasa, kitu nacho ogopa kwenda kwa wakwe zangu tu 😆 😁.
😁😁 wewe ni tisii...email 😂😁, mimi naku tumia Whatsapp namba kabisa.
Nita kuhadithia 😂😁😁😁 vitu vidogo hivyo visikutishe
wapi na wapi 🤣 😂😁😁 wewe ni tisii...
Haina shida mkuu ✊🏽✊🏽
Hahaha imagine mm ni mkubwa kuliko raisi wangu lakini nampa heshima yakeKo nyie wote ni wadogo zangu Intelligent businessman Bolotoba Monetary doctor
Hata kama Sina hela, muwe mnanipa, hata shikamoo tu
makutupora ame Anza kuota ndevu, u semaji sio kabila kusema ana umiliki😁🤣Hahaha imagine mm ni mkubwa kuliko raisi wangu lakini nampa heshima yake
Hahaha mamlaka lazima iheshimiwe,makutupora ame Anza kuota ndevu, u semaji sio kabila kusema ana umiliki😁🤣
Michango yake ya kifaller sana mkuu, basi tu duniani kuna uhuru wa maoni🤣Kaka huwa nafurahia sana michango yako ilivyo kaa kichawa chawa tu😁😁
📍📍📌🔨⚒️📌🔨⚒️📍📍Usilete mtoto duniani kabla hujajipata