G
guest-1788672427
Guest
Ma engineer, ChatGPT amenichorea hii ramani, naomba mniambie kama iko sawa??
Nilitaka kila chumba na choo chake na public toilet itakua nje ila nimeona Eng chatgpt kakoseaRamani ya nyumba kuwa sawa au kutokuwa sawa ni mapenzi ya mtu mwenyewe!
Mfano kama nyumba Ina vyumba vitatu vyoo vitatu vya inapendeza Kila Chumba kiwe na choo chake. Mgeni wa kupita unajenga choo nje
Nilitaka kila chumba na choo chake na public toilet itakua nje ila nimeona Eng chatRamani ya nyumba kuwa sawa au kutokuwa sawa ni mapenzi ya mtu mwenyewe!
Mfano kama nyumba Ina vyumba vitatu vyoo vitatu vya inapendeza Kila Chumba kiwe na choo chake. Mgeni wa kupita unajenga choo nje
Mwambie akupe approximations za gharama kwa pesa ya kitanzania japo kuwa utalazimika kumpa highlights za bei za vaadhi ya vifaa kama matofali cement mchanga n.k
Ramani nimeielewa
Baaaasiihawawezi kukwambia iko sawa kwa maana,hata wao wanataka pesa yako
Sawa ila hii ramani kaikosea maan mimi nilimwambia iwe kama hiiMwambie akupe approximations za gharama kwa pesa ya kitanzania japo kuwa utalazimika kumpa highlights za bei za vaadhi ya vifaa kama matofali cement mchanga n.k
Ramani nimeielewa
Shida sio kuchorewa nenda kajenge wewe na hiyo chat GPT.
Mbona umejibu kwa hasira ? Nini shida .?Shida sio kuchorewa nenda kajenge wewe na hiyo chat GPT.
Hajakose kwa sababu ukimpa gundi hii 3d uliyoweka hapa inaweza kumtatatuza kwenye vipimo ila ile ya kwanza kiufundi tinaweza kusema ni ramani kamiliSawa ila hii ramani kaikosea maan mimi nilimwambia iwe kama hii
una hela ya huo mjengo?
SawaHajakose kwa sababu ukimpa gundi hii 3d uliyoweka hapa inaweza kumtatatuza kwenye vipimo ila ile ya kwanza kiufundi tinaweza kusema ni ramani kamili
Unataka kujenga hii nyumba mkoa gani?Sawa ila hii ramani kaikosea maan mimi nilimwambia iwe kama hii
Utakufa kwa joto
G
Kibaha
Kama unafanya kazi zenye thamani kama hizi jaribu kutumia paid account itakuongezea sana accuracy ya kazi zako nafikiri plus account inatumia GPT-5.5 Thinking wakati free na go wanatumia GPT-5.5 Instant. Kuna tofauti sana kati ya hizo models mbili kwenye delivery
SawaUtakufa kwa joto
Ongeza dirisha kwenye vyumba 2 vilivyo upande wa kushoto wa nyumba
Jikoni ondoa ile pantry weka dirisha, pantry iwe katikati ya chumba na jiko
Hiyo ramani imechorwa kwa kuzingatia maeneo ya nchi za baridi
Ondoa ule ukuta unaotenganisha sebule na corridor ya mlango mkuu wa kuingia ndani uwe mlango moja kwa moja
AhsanteUtakufa kwa joto
Ongeza dirisha kwenye vyumba 2 vilivyo upande wa kushoto wa nyumba
Jikoni ondoa ile pantry weka dirisha, pantry iwe katikati ya chumba na jiko
Hiyo ramani imechorwa kwa kuzingatia maeneo ya nchi za baridi
Ondoa ule ukuta unaotenganisha sebule na corridor ya mlango mkuu wa kuingia ndani uwe mlango moja kwa moja
Sawa, ahsanteKama unafanya kazi zenye thamani kama hizi jaribu kutumia paid account itakuongezea sana accuracy ya kazi zako nafikiri plus account inatumia GPT-5.5 Thinking wakati free na go wanatumia GPT-5.5 Instant. Kuna tofauti sana kati ya hizo models mbili kwenye delivery