Ma engineer, ChatGPT amenichorea hii ramani, naomba mniambie kama iko sawa?

Jua halipigi sehemu moja kutokana na mzunguko wa dunia wa siku au?
Ooh! Iko hivi....vyumba vya kulala vinatakiwa viwe upande ambao kw amajira ya kuanzia saa 6:00mchana--12:00 jioni, vyumba hivyo visiwe vinapigwa na jua moja kwa moja. Badala yake vyumba vitakavyokua vikipokea jua kw amajira hayo viwe n ama Dinng, sitting rm ama jiko. Kwa hio, kabla ya kujenga nenda site angalia kwa majira ya mchana jua linakua upande upi....hivyo unasett msingi na jengo..
Mfano: umeenda site ukaona jua linatokea upande A na kuzama upande B, wewe weka jengo lako vyumba vya kulala vikiwa upande A alhali jiko,sebure na dinng weka upande B maana upande huo utatumia muda woote wa mchana kula jua.
Nb: Asili ya tofari n kufyonza joto mchana na kulitema usiku, hivyo setting ya jengo ina lengo la kuepuka hali joto katika vyumba pasi na kutumia gharama za ziada mf. AC&FAN.
 
Attachments

  • IMG_20260621_164544.png
    IMG_20260621_164544.png
    1.6 MB · Views: 16

Ramani ya nyumba yangu vyumba vya watoto vipo upande jua linapochomoza, chumba changu kipo upande jua linapozama, sebuleni,dining kitchen katikati. Ni kweli mchana jua linapiga dirishani kisawasawa. Lakini kwa ramani ilivyo na kiwanja kilivyo sikuwa na jinsi.
 
Mbona sijaona mlango wa jikoni wa kutoka nje, na Hapo kuna kolido mbona sipo mbili nakushauri kulido iliyopita nyuma ya Sitting room na Dinning room kuelekea jikoni isiwepo. Sijawahi kuona Nyumba ina kolido mbili hiyo kolido inayoelekea Jikoni iondoe, Sijawahi kuona Sitting room na Dinning room zimezungukwa na kolido mbili.
 
Mchoro ambao nilikua mimi nautaka ni huu ila AI ameukosea
 
Attachments

  • IMG_20260622_090049_836.jpg
    IMG_20260622_090049_836.jpg
    286.1 KB · Views: 13
Mchoro ambao nilikua mimi nautaka ni huu ila AI ameukosea
Wakati tupo shuleni....tuliambiwa hivi. Ramani ya jengo inahitaji privacy....sasa unakiona hiko choo cha public hapo karibu na hio bdrm 2 baada ya mastr bdrm, mgeni ukimpeleka hapo anakua keshaisoma ramani ya nyumba nzima na hivyo issue ya privacy na usalama inakua imepungua(kama huyo mgeni si mwema).
Nb: Kama hio WC sio public sawa! Ila kama una malengo ya kuifanya public basi privacy will be lost my frnd.
 
Hicho nilitaka kiwe choo cha room no 2 iwe self yaan nilitaka hizo room no 2 na no 3 zote ziwe self nq public toilet ikawe nje

Je niko sahihi ???
 
Au hiyo koridor inakula nafasi na tofali ?
Haili boss.....nilichokua nasemea kinakula nafasi na tofari ni kwenye ile raman ya kwanza.
👇🏾
Nafasi inayopotea: hizo Dot 3
Ukuta unnecessary n huo nimeubold
 
Attachments

  • file_000000008a5c71fd93c2b16cf5fe24f7~2.png
    file_000000008a5c71fd93c2b16cf5fe24f7~2.png
    1.6 MB · Views: 12
Back
Top Bottom