Ramani nzuri, sasa kifuatacho n ww kufanya setting vizuri, maana ukikosea tu vyumba vikawa upande wa jua .....utapigwa joto saaana.
SawaRamani nzuri, sasa kifuatacho n ww kufanya setting vizuri, maana ukikosea tu vyumba vikawa upande wa jua .....utapigwa joto saaana.
chat gpt "imekuchorea" sio "amekuchorea" chat gpt haina personality ni tool. Ni sawa na kusema kalamu yangu ameandika vizuriMa engineer, ChatGPT amenichorea hii ramani, naomba mniambie kama iko sawa??
Jua halipigi sehemu moja kutokana na mzunguko wa dunia wa siku au?Ramani nzuri, sasa kifuatacho n ww kufanya setting vizuri, maana ukikosea tu vyumba vikawa upande wa jua .....utapigwa joto saaana.
Mimi sio engineer..ila hiyo dinning ilipo hapana.Ma engineer, ChatGPT amenichorea hii ramani, naomba mniambie kama iko sawa??
Hapana kwenye Nyumba nyingi kuna baadhi ya Vyumba vinakua vinapigwa na jua mida ya kuanzia Mchana mpaka saa kumi jioni yani ukitaka kulala jua linapiga ndani, Vyumba vingi vinavyopigwa na jua vinakua na madirisha yaliangalia upande wa kuchomoza jua na jua linapo zama na ukiona jua halipigi Chumbani basi utakuta jirani zako wana majengo makubwa au Miti yamezuia jua lisipige chumbaniJua halipigi sehemu moja kutokana na mzunguko wa dunia wa siku au?
Mkuu ili Ramani uisome vizuri inatakiwa iwe na mchoro wa Msingi kwanza kuliko kuweka hayo mabox, huyo angekupa kwanza Msingi wake baadae ndipo akupe mchoro mzima wa Nyumba kama madirisha na paa na kibaraza.Sawa ila hii ramani kaikosea maan mimi nilimwambia iwe kama hii
Madam hii ni nyumba yako ya ngapi?Sawa ila hii ramani kaikosea maan mimi nilimwambia iwe kama hii
SawaMkuu ili Ramani uisome vizuri inatakiwa iwe na mchoro wa Msingi kwanza kuliko kuweka hayo mabox, huyo angekupa kwanza Msingi wake baadae ndipo akupe mchoro mzima wa Nyumba kama madirisha na paa na kibaraza.
SawaMimi sio engineer..ila hiyo dinning ilipo hapana.
Mkuu ili Ramani uisome vizuri inatakiwa iwe na mchoro wa Msingi kwanza kuliko kuweka hayo mabox, huyo angekupa kwanza Msingi wake baadae ndipo akupe mchoro mzima wa Nyumba kama madirisha na paa na kibaraza.
Mkuu ili Ramani uisome vizuri inatakiwa iwe na mchoro wa Msingi kwanza kuliko kuweka hayo mabox, huyo angekupa kwanza Msingi wake baadae ndipo akupe mchoro mzima wa Nyumba kama madirisha na paa na kibaraza.
Niambie kama ni sawa ?Mkuu ili Ramani uisome vizuri inatakiwa iwe na mchoro wa Msingi kwanza kuliko kuweka hayo mabox, huyo angekupa kwanza Msingi wake baadae ndipo akupe mchoro mzima wa Nyumba kama madirisha na paa na kibaraza.
Hatari sana huu mapambano AI kashinda mapema sanaila AI itaua kazi nyingi sana just imagine umelipia chatgpt for a monthly subscription most of kazi AI inapiga from graphics to engineering yaaani ni hatari