Ma engineer, ChatGPT amenichorea hii ramani, naomba mniambie kama iko sawa?

Ramani ya nyumba kuwa sawa au kutokuwa sawa ni mapenzi ya mtu mwenyewe!
Mfano kama nyumba Ina vyumba vitatu vyoo vitatu vya inapendeza Kila Chumba kiwe na choo chake. Mgeni wa kupita unajenga choo nje
 
Mwambie akupe approximations za gharama kwa pesa ya kitanzania japo kuwa utalazimika kumpa highlights za bei za vaadhi ya vifaa kama matofali cement mchanga n.k
Ramani nimeielewa
 
Nilitaka kila chumba na choo chake na public toilet itakua nje ila nimeona Eng chatgpt kakosea
 
Ramani ya nyumba kuwa sawa au kutokuwa sawa ni mapenzi ya mtu mwenyewe!
Mfano kama nyumba Ina vyumba vitatu vyoo vitatu vya inapendeza Kila Chumba kiwe na choo chake. Mgeni wa kupita unajenga choo nje
Nilitaka kila chumba na choo chake na public toilet itakua nje ila nimeona Eng chat
Mwambie akupe approximations za gharama kwa pesa ya kitanzania japo kuwa utalazimika kumpa highlights za bei za vaadhi ya vifaa kama matofali cement mchanga n.k
Ramani nimeielewa
 
Mwambie akupe approximations za gharama kwa pesa ya kitanzania japo kuwa utalazimika kumpa highlights za bei za vaadhi ya vifaa kama matofali cement mchanga n.k
Ramani nimeielewa
Sawa ila hii ramani kaikosea maan mimi nilimwambia iwe kama hii
 
Attachments

  • IMG_20260618_114214_790.jpg
    313 KB · Views: 34
Utakufa kwa joto

Ongeza dirisha kwenye vyumba 2 vilivyo upande wa kushoto wa nyumba

Jikoni ondoa ile pantry weka dirisha, pantry iwe katikati ya chumba na jiko

Hiyo ramani imechorwa kwa kuzingatia maeneo ya nchi za baridi

Ondoa ule ukuta unaotenganisha sebule na corridor ya mlango mkuu wa kuingia ndani uwe mlango moja kwa moja
 
Sawa
 
Ahsante
 
Sawa, ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…