Jerry Farms
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 344
- 350
Ooh! Iko hivi....vyumba vya kulala vinatakiwa viwe upande ambao kw amajira ya kuanzia saa 6:00mchana--12:00 jioni, vyumba hivyo visiwe vinapigwa na jua moja kwa moja. Badala yake vyumba vitakavyokua vikipokea jua kw amajira hayo viwe n ama Dinng, sitting rm ama jiko. Kwa hio, kabla ya kujenga nenda site angalia kwa majira ya mchana jua linakua upande upi....hivyo unasett msingi na jengo..Jua halipigi sehemu moja kutokana na mzunguko wa dunia wa siku au?
N balaa, ila AI si haiendi site! Sema hapa cha kuomba n muomba kuchorewa raman awe hajui baadhi ya tuvipengele pengele tu....ila akiwa mjanja, kwisha kaz.....ila AI itaua kazi nyingi sana just imagine umelipia chatgpt for a monthly subscription most of kazi AI inapiga from graphics to engineering yaaani ni hatari
Hii korido n matumizi mabaya ya space +tofari๐๐พMa engineer, ChatGPT amenichorea hii ramani, naomba mniambie kama iko sawa??
Ramani ya nyumba yangu vyumba vya watoto vipo upande jua linapochomoza, chumba changu kipo upande jua linapozama, sebuleni,dining kitchen katikati. Ni kweli mchana jua linapiga dirishani kisawasawa. Lakini kwa ramani ilivyo na kiwanja kilivyo sikuwa na jinsi.Ooh! Iko hivi....vyumba vya kulala vinatakiwa viwe upande ambao kw amajira ya kuanzia saa 6:00mchana--12:00 jioni, vyumba hivyo visiwe vinapigwa na jua moja kwa moja. Badala yake vyumba vitakavyokua vikipokea jua kw amajira hayo viwe n ama Dinng, sitting rm ama jiko. Kwa hio, kabla ya kujenga nenda site angalia kwa majira ya mchana jua linakua upande upi....hivyo unasett msingi na jengo..
Mfano: umeenda site ukaona jua linatokea upande A na kuzama upande B, wewe weka jengo lako vyumba vya kulala vikiwa upande A alhali jiko,sebure na dinng weka upande B maana upande huo utatumia muda woote wa mchana kula jua.
Nb: Asili ya tofari n kufyonza joto mchana na kulitema usiku, hivyo setting ya jengo ina lengo la kuepuka hali joto katika vyumba pasi na kutumia gharama za ziada mf. AC&FAN.
Sawa niliona iko na privacyHii korido n matumizi mabaya ya space +tofari๐๐พ
Sawa nimeelewaPamoja na kwamba AI amechorq, mimi siafiki kabisa huo mchoro, unapoteza eneo kubwa sana kwa corridors na veranda bila sababu.
Mchoro ambao nilikua mimi nautaka ni huu ila AI ameukoseaMbona sijaona mlango wa jikoni wa kutoka nje, na Hapo kuna kolido mbona sipo mbili nakushauri kulido iliyopita nyuma ya Sitting room na Dinning room kuelekea jikoni isiwepo. Sijawahi kuona Nyumba ina kolido mbili hiyo kolido inayoelekea Jikoni iondoe, Sijawahi kuona Sitting room na Dinning room zimezungukwa na kolido mbili.
Wakati tupo shuleni....tuliambiwa hivi. Ramani ya jengo inahitaji privacy....sasa unakiona hiko choo cha public hapo karibu na hio bdrm 2 baada ya mastr bdrm, mgeni ukimpeleka hapo anakua keshaisoma ramani ya nyumba nzima na hivyo issue ya privacy na usalama inakua imepungua(kama huyo mgeni si mwema).Mchoro ambao nilikua mimi nautaka ni huu ila AI ameukosea
Hicho nilitaka kiwe choo cha room no 2 iwe self yaan nilitaka hizo room no 2 na no 3 zote ziwe self nq public toilet ikawe njeWakati tupo shuleni....tuliambiwa hivi. Ramani ya jengo inahitaji privacy....sasa unakiona hiko choo cha public hapo karibu na hio bdrm 2 baada ya mastr bdrm, mgeni ukimpeleka hapo anakua keshaisoma ramani ya nyumba nzima na hivyo issue ya privacy na usalama inakua imepungua(kama huyo mgeni si mwema).
Nb: Kama hio WC sio public sawa! Ila kama una malengo ya kuifanya public basi privacy will be lost my frnd.
Naam...kama ukifanya hivyo utakua sahihi.Hicho nilitaka kiwe choo cha room no 2 iwe self yaan nilitaka hizo room no 2 na no 3 zote ziwe self nq public toilet ikawe nje
Je niko sahihi ???
Au hiyo koridor inakula nafasi na tofali ?Naam...kama ukifanya hivyo utakua sahihi.
Haili boss.....nilichokua nasemea kinakula nafasi na tofari ni kwenye ile raman ya kwanza.Au hiyo koridor inakula nafasi na tofali ?
Ahsante sanaHaili boss.....nilichokua nasemea kinakula nafasi na tofari ni kwenye ile raman ya kwanza.
๐๐พ
Nafasi inayopotea: hizo Dot 3
Ukuta unnecessary n huo nimeubold