Ma-expert wa bible msaada kidogo kunifafanulia hili

Nuru ni matendo Mema na Ethics za kufuata matendo ya MUNGU while giza ni matendo maovo na yakudhoofisha watu wengine..?kwa maana hii Wema na ubaya haviwezi kulandana hata kidogo.

Ni kama AMANI na VITA vilivyo never co-exist.
 
Ni vyema uliza wakati mwingine Biblia ni mkusanyiko wa vitabu wajua pana Maandiko na Neno.

Hata shetani pia hutumia hiyo hiyo Biblia kwa maana ya Maandiko ili apotoshe ukweli.

Pia fahamu pana
Sehemu ya Maisha ya Mwili imejitokeza sana Agano la kale na hasa zimetumika Tamaduni za Israel na makabila yake

Na pana Maisha ya kiroho hii utaipata zidi katika Agano jipya

Ndio maana walipo sikia mfalme amezaliwa iliwapashida sana...kumbe si ufalme wa Dunia hii kwa maana ya mwili.

Mtoa maada amepost andiko lijadiliwe, kama lilivyo na si vinginevyo kama alivyotanabaisha mtoa maada.

What???
 
Ndugu zangu,namchukia sana mtu anayedharau BIBLIA,hivi kila kitu ni kudharau,hadi Neno la MUNGU?,Ee MUNGU uturehemu.
 
me nikupe kwa kifupi mno! watu wengi wanachanganya sana haya mambo ya ki biblia.
Biblia imegawanyika mara mbili. kuna agano la kale ambalo lilihusu waisraeli tu! na kuna agano jipya ambalo linahusu kila mtu katika ulimwengu huu.
labda unambie kuwa wewe ni mu israel na unaishi kabla ya yesu kuleta agano la pili(jipya). Vinginevyo hizi sheria ambazo sisi hatupo tena chini yake ziliwafaa sana waisraeli kwa wakati huo!
si hiyo tu uliyoisema bali zipo nyingi tu ambazo hazifai na hazitekelezeki kwa sasa. Ndio maana Mungu alisema wazi kuwa "siku zinakuja nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Yuda. Si kama lile nililofa na baba zao wakalivunja........." Hivyo ndugu yangu hizo sheria na agano la kale kwa ujumla kwa sasa zisome kama story tu.

Mkuu sikubaliani na wewe hata kidogo kwamba Agano la kale lilikuwa la waisrael peke yake alafu jipya ndio la watu wote, tujiepushe na kauli za namna hii hasa tunapokabiriana na maswali yenye changamoto kama haya.

Ama sivyo nikuulize, hao waisrael nao Agano la kale haliwahusu tena?
 
Pili
Approach sahihi ya maelezo uliyotoa ni kwamba, Agano la kale linasheria za Mungu na Sheria za Mussa na sio kwamba kuna kitu Mungu amekwisha wahi kukielekeza alafu akaja kukibadilisha kwa sababu zozote zile. Mungu sio kigeugeu.
 
Enendeni ulimwenguni ,mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu,mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho mtakatifu, mkiwafundisha. kuyashika YOTE NILIYOWAAMURU NINYI. Pamoja na ukweli kuwa Yesu ndiye aliyeamuru yote yalyomo kwenye agano la kale kupitia kwa mitume na manabii lakini alipotuma wanafunzi aligiza wagundishe Yale aliyowaamuru yeye.
Je ? Hoja yako haikinzani na agizo la bwana Yesu ? Hakusema tusijifunze ya agano la kale Bali tufundishwe maamrisho yake kwa wanafunzi wake hakutaka tujichanganye...
 
Kwani Yesu alifundisha kitu gani kipya tofauti na yale yaliyo kwenye Agano la Kale?
 
Pili
Approach sahihi ya maelezo uliyotoa ni kwamba, Agano la kale linasheria za Mungu na Sheria za Mussa na sio kwamba kuna kitu Mungu amekwisha wahi kukielekeza alafu akaja kukibadilisha kwa sababu zozote zile. Mungu sio kigeugeu.

Hakuna Sheria za Mungu na za Musa. Musa alitumika kama chombo cha uwakilishi
Tu.
Sheria zote ni za Mungu kupitia mkono WA Musa.
Agano ni mkataba na mkataba WA Mungu na wana WA Yakobo hauna uhusiano na mkataba WA Mungu na mataifa kupitia Yesu Kristo, hata Kama kuna vipengere vya mikataba vinafanana kwa kiasi bado mkataba WA nyumba ya Yakobo ni halali kwa nyumba ya Yakobo Tu.
Vigezo na Masharti huzingatiwa...

Kama hakuna Sheria za Mungu na za Mussa.
Kwa nini Yesu aliwajibu namna ile wale waliomuuliza kuhusu Mke Divorce, soma Mathew 19 uone ni maelekezo ya Mungu ni yepi na ya Mussa ni yepi.

Kuhusu Agano, napo sikubaliani na wewe, sababu Mungu aliweka agano kwanza na Ibrahim. wakati wa Ibrahim hakukuwa na kitu kinaitwa Israel.

Ni agano hilo hilo ndo aliweka na Israel baadae na ni hilo hilo liko juu yetu pia.
 
Kwani Yesu alifundisha kitu gani kipya tofauti na yale yaliyo kwenye Agano la Kale?

Soma maandiko ya kile alichofundisha kwenye Injili zote NNE na vitabu vya manabii. Hivyo ndiyo msingi WA Yale aliyoamuru yeye kwa wanafunzi...Yesu hakufundisha do and don't kama za Musa kwenye agano la kale.
Alifundisha uwazi WA Upendo WA Mungu.
Pili kumbuka Yesu ni jiwe walilolokataa waashi, waashi ni akina nani ? Kwa nini wao wawe waashi na si watu wote.?
Alianza na kuwafundisha watu WA Agano la kale...
Hilo liko wazi hata ukirejea namna alivyosema kwamba majira kwa ajili ya mataifa yangekuja lakini kwanza ilikuwa kwa kondoo waliopotea WA nyumba ya Israel.
Sielewi ni kwa vipi jambo wazi namna hii linatengenezewa mizengwe ?
 
Nimeisha soma sana, na sijawahi kuona mafundisho mapya, labda unielekeze wewe sasa. Mi kila nikisoma kuanzia Genesis mpaka Revelations naona kinazungumziwa kitu kilekile.
 
Kama hakuna Sheria za Mungu na za Mussa.
Kwa nini Yesu aliwajibu namna ile wale waliomuuliza kuhusu Mke Divorce, soma Mathew 19 uone ni maelekezo ya Mungu ni yepi na ya Mussa ni yepi.

Kuhusu Agano, napo sikubaliani na wewe, sababu Mungu aliweka agano kwanza na Ibrahim. wakati wa Ibrahim hakukuwa na kitu kinaitwa Israel.

Ni agano hilo hilo ndo aliweka na Israel baadae na ni hilo hilo liko juu yetu pia.

Hao walikuwa watu WA Sheria Kama zilivyowasilishwa kwao na Musa. Yesu aliwaambia ni ugumu WA mioyo yao uliomfanya yeye kupitia Musa aruhusu.
Hakumshutumu MUSA kwa hilo.
Yesu alikuwepo zama za Musa ? Ni kwa kuwa ndiye aliyemtuma Musa ndiyo sababu anajua hata sababu za kumfanya MUSA atoe sheria kadri ya mazingira ya watu wale.
Ibrahim kupitia kwake ndipo unapata kizazi cha Yakobo na ndipo agano linaendelezwa na kuimarishwa...unaweza kuji trace wewe hadi kwa Ibrahimu. Kama agano lingekuwa kwa Adamu hoja yako ingekuwa na mashiko ni uzao WA Ibrahim uliokuja kumleta Yakobo/Israel
Wanafunzi WA Yesu hawakubeba agano la kale wakati wakiinjikisha walikuwawanainjilisha kwa kurejea mafundisho ya Bwana Yesu, lakini vitabu vya agano la kale vilikuwepo na hawakuvitumia Kama rejea wakati WA uinjilishaji.
Hata mtume Paulo akiwafundisha wayahudi aliweka wazi tofauti ya mafundisho ya Yesu Kristo na Yale ya agano la kale.
Rejea yako msingi wake ni mafundisho yepi katika vitabu vya injili na manabii ?
Yesu alitangaza agano jipya kazi iliyomleta alipoimaliza.
Hakuna muendelezo WA agano hata kidogo tofauti ni wazi mmnnooo
 
Nimeisha soma sana, na sijawahi kuona mafundisho mapya, labda unielekeze wewe sasa. Mi kila nikisoma kuanzia Genesis mpaka Revelations naona kinazungumziwa kitu kilekile.

Genesis hadi revelation wewe waona Neema na Upendo Tu.
Maana Yesu alifundisha wokovu kwa Neema na sio kwa matendo ya sheria.
Mmh huh mjadala utakuwa mgumu Kama wewe waona wokovu WA neeema Tu toka mwanzo hadi ufunuo ?
 
Wapi nimesema nimeona Neema na Upendo tu?
 
Hao walikuwa watu WA Sheria Kama zilivyowasilishwa kwao na Musa. Yesu aliwaambia ni ugumu WA mioyo yao uliomfanya yeye kupitia Musa aruhusu.
Hakumshutumu MUSA kwa hilo.
Yesu alikuwepo zama za Musa ? Ni kwa kuwa ndiye aliyemtuma Musa ndiyo sababu anajua hata sababu za kumfanya MUSA atoe sheria kadri ya mazingira ya watu wale.
Ibrahim kupitia kwake ndipo unapata kizazi cha Yakobo na ndipo agano linaendelezwa na kuimarishwa...unaweza kuji trace wewe hadi kwa Ibrahimu. Kama agano lingekuwa kwa Adamu hoja yako ingekuwa na mashiko ni uzao WA Ibrahim uliokuja kumleta Yakobo/Israel
Wanafunzi WA Yesu hawakubeba agano la kale wakati wakiinjikisha walikuwawanainjilisha kwa kurejea mafundisho ya Bwana Yesu, lakini vitabu vya agano la kale vilikuwepo na hawakuvitumia Kama rejea wakati WA uinjilishaji.
Hata mtume Paulo akiwafundisha wayahudi aliweka wazi tofauti ya mafundisho ya Yesu Kristo na Yale ya agano la kale.
Rejea yako msingi wake ni mafundisho yepi katika vitabu vya injili na manabii ?
Yesu alitangaza agano jipya kazi iliyomleta alipoimaliza.
Hakuna muendelezo WA agano hata kidogo tofauti ni wazi mmnnooo

Usimuwekee Yesu Maneno mkuu. Yesu hakusema YEYE ndio aliruhusu kupitia Mussa. Tuwe makini tusilazimishe mambo.

[7] They say unto him, Why did Moses then command to give a writing of divorcement, and to put her away? [8] He saith unto them, Moses because of the hardness of your hearts suffered you to put away your wives: but from the beginning it was not
 
Wapi nimesema nimeona Neema na Upendo tu?

Mkuu;Bwana Yesu alikuja kutijumuisha katika kundi la wana WA Mungu sio kwa matendo ya sheria Bali kwa Neema na Upendo...
Ndiyo sababu nikakuhoji kuhusu ulichosoma Mwanzo hadi ufunuo ni story moja Tu ?
 
Hao walikuwa watu WA Sheria Kama zilivyowasilishwa kwao na Musa. Yesu aliwaambia ni ugumu WA mioyo yao uliomfanya yeye kupitia Musa aruhusu.
Hakumshutumu MUSA kwa hilo.
Yesu alikuwepo zama za Musa ? Ni kwa kuwa ndiye aliyemtuma Musa ndiyo sababu anajua hata sababu za kumfanya MUSA atoe sheria kadri ya mazingira ya watu wale.
Ibrahim kupitia kwake ndipo unapata kizazi cha Yakobo na ndipo agano linaendelezwa na kuimarishwa...unaweza kuji trace wewe hadi kwa Ibrahimu. Kama agano lingekuwa kwa Adamu hoja yako ingekuwa na mashiko ni uzao WA Ibrahim uliokuja kumleta Yakobo/Israel
Wanafunzi WA Yesu hawakubeba agano la kale wakati wakiinjikisha walikuwawanainjilisha kwa kurejea mafundisho ya Bwana Yesu, lakini vitabu vya agano la kale vilikuwepo na hawakuvitumia Kama rejea wakati WA uinjilishaji.
Hata mtume Paulo akiwafundisha wayahudi aliweka wazi tofauti ya mafundisho ya Yesu Kristo na Yale ya agano la kale.
Rejea yako msingi wake ni mafundisho yepi katika vitabu vya injili na manabii ?
Yesu alitangaza agano jipya kazi iliyomleta alipoimaliza.
Hakuna muendelezo WA agano hata kidogo tofauti ni wazi mmnnooo

Kuhusu Agano,liliwekwa hata na Adamu Pia. halikuanzia kwa Ibrahim. Naona hausomi Biblia yak vizuri mkuu.
 
Huu uzi wako utafungwa! Ngoja waje wasabato na wakatoliki na madhehebu mengine. Watakuza wigo wa majadiliano mpaka unatoka nje na kusababisha uzi ufungwe! Uzi wangu ulifungwa, niliuliza kitu simple, ukaishia kuwa pambano kali la madhehebu. Ngoja ndugu Otorong'ong'o, Ntuzu waje na wenzao!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu;Bwana Yesu alikuja kutijumuisha katika kundi la wana WA Mungu sio kwa matendo ya sheria Bali kwa Neema na Upendo...
Ndiyo sababu nikakuhoji kuhusu ulichosoma Mwanzo hadi ufunuo ni story moja Tu ?

Ndio ni story moja tu, zingine zote zinaisupport hiyo hiyo moja.

Hata hayo mambo ya Neema, Upendo na matendo ni vikolombwezo tu. au wewe unaona sisi kujumuishwa ni jambo jipya sana? hiyo ilikuwa issue ya mpangilio wa muda wa Mungu Mwenyewe na sio kwamba kuna wakati wowote katika moyo wa Mungu amekwisha wahi kusema hawa sio wangu na hawa ni wangu. NEVER.

Mungu aliingia Agano hata na Adam pia, unasemaje sasa?
 
Back
Top Bottom