Ma-jobless thread

mashemeji wabinafsi sana wanataka hadi ma beki tatu wetu

serikali unatakiwa iingilie kati hili beki 3 ni mali halali ya jobless
Naunga mkono hoja beki ndio sisi huwa tunajipoozea maana hao ndio tunaendana kimaisha
 
Huwa unapata wapi hela ya kula?
 
Huyo atakuuweni huyo. Huu sio muda wa kusikiliza motivesheni mtaumia vijana fanyeni kazi
Kazi Gani mkuu πŸ˜ŠπŸ€“
Tutoe tongotongo tufanye kazi Gani??
Uafisa usafirishaji?

Mchango wako ni muhimu sana kwetu mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…