Ma-jobless thread

Ma-jobless thread

mashemeji wabinafsi sana wanataka hadi ma beki tatu wetu

serikali unatakiwa iingilie kati hili beki 3 ni mali halali ya jobless
Naunga mkono hoja beki ndio sisi huwa tunajipoozea maana hao ndio tunaendana kimaisha
 
Ndugu zangu ambao ni majob-less habari na amani iwe juu yenu!

Karibuni katika ukurasa wetu tupige story na kupeana moyo kwa kipindi hiki kigumu tunachopitia.. Vilevile kama kuna michongo, ideas, na njia tupeane ili tuweze kutoka katika hii hali.

Nawasilisha.
Huwa unapata wapi hela ya kula?
 
Back
Top Bottom