Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Ila saidia fundi nyie... Uone vile vile daah.. yaan tofali lipo karibu tuu ila jamaa anakuambia leta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litakufa jituMaisha siyo poa.
Tunatoka kitandani tunahamia kwenye sofa🤣Majobless wengine ndo tunaamka
Alafu fundi anakuona lofa hamna unachojua. Kuna mmoja alitega Fox vibaya kama msaidizi wake nikamsanua, niliambulia dhalau nyingi na kejeli. Bwanaa wee si akapanda akaanza kujenga ghafla Ile Fox ikavyatuka akashikilia ule ukuta aliokua anaujenga na wenyewe ukawa unaanguka ikabidi aluke juu ya bati la choo ndio ilikua pona yake. Siwezi msahau fundi chaitupu 😂😂Ila saidia fundi nyie... Uone vile vile daah.. yaan tofali lipo karibu tuu ila jamaa anakuambia leta
Sheenzi sana wale.. wanajiona wamemaliza wakati kun watu wanafanya saidia just kujitafuta tuu..Alafu fundi anakuona lofa hamna unachojua. Kuna mmoja alitega Fox vibaya kama msaidizi wake nikamsanua, niliambulia dhalau nyingi na kejeli. Bwanaa wee si akapanda akaanza kujenga ghafla Ile Fox ikavyatuka akashikilia ule ukuta aliokua anaujenga na wenyewe ukawa unaanguka ikabidi aluke juu ya bati la choo ndio ilikua pona yake. Siwezi msahau fundi chaitupu 😂😂
Sasa jeTunatoka kitandani tunahamia kwenye sofa🤣
Utakuwa Principal Jobless-IMimi ni jobless toka 2011 nilivyofeli form 2, mnanipa cheo gani wakuu
Lete Sera!nichagueni niwe CEO wenu naahidi nitawawakilisha vyema wazee
Sasa jee wote mmekutana jobless kuna nini hapo [emoji1787]Ufe kisa nini? Kuwa utapelekewa moto sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutiana mimba tuu maana ukiwa jobless bao moja tuu mimba hiyoSasa jee wote mmekutana jobless kuna nini hapo [emoji1787]
Na huko kwako mvua inanyeshaaTumelala tu na mvua hii wala hatuna shida jobless mwenzangu uko wapi etii Amehlo