Ma-jobless thread

Ma-jobless thread

Tunawaza sana mpaka mabichwa yanaongezeka upana,

Sometimes tunapiga Dili hatari sana

Majobless
20230531_145540.jpg
 
Ndugu zangu ambao ni majob-less habari na amani iwe juu yenu!

Karibuni katika ukurasa wetu tupige story na kupeana moyo kwa kipindi hiki kigumu tunachopitia.. Vilevile kama kuna michongo, ideas, na njia tupeane ili tuweze kutoka katika hii hali.

Nawasilisha.
Tukiacha utani hakuna kitu kinaumiza kama kuamka asubuhi huna kazi ya maana unaumiza kichwa ufanye nini upate hata hela ya kuishi, maisha ya kutikua na kazi ni fedheha nyie acheni unaeza kupata dharura huna hata mia mfukoni unaanza kupiga simu hata kama hupendi inabidi tu.
 
Ngoja niwashauri wadogo zangu

Kama wewe ni jobless na una uhakika wa kula na kulala home

Fanya hv jichanganye kitaa ujifunze tuvitu vitu twingi twingi kama kunyoa,ufundi simu,ujenzi,udereva

Baada ya muda utapata uelekeo na hautakosa 5000-10,000 kwa siku,usikae tu tafuta ujuzi wowote
Ushauri mzuri sana kwakweli skuizi ujuzi unasaidia sana kuliko ma degree tulokua nayo hayana faida.
 
kwema majoblesi wenzangu

kwangu mimi mtaa umenichapa balaa ,nimechapika ila sija surrender najua stress na starvation ndio ugonjwa wetu tulio wengi.

kwangu mimi ili kusavaivu nimejiegesha kwenye ka kampuni kamoja kaulinzi hapa kwa jiji la chalamila. ila kutoa ruhusa tu ya kupiga sahili ni mtiti kanazingua balaa

majuzi kati nilikua utumishi kupiga pepa ,yule msimamizi itabidi afunguke tu hvii ww kwenye hii picha ndio wewe mfwende?

wanangu najua wapo walio give up,wapo wenye ahueni, tupo wengine tunaozidi kwenda ila imani ndio nguzo zetu. ni seme tu majoblesi MUNGU asimame na sisi daima kwenye msoto huu tunaopitia.
 
Liman Charlie acha tuendelee kukaza wakati wetu utafika tu
 
Back
Top Bottom