Ma-MC mnatusababishia shida sana kwenye familia zetu, Tabia hii ni mbaya mno

Ma-MC mnatusababishia shida sana kwenye familia zetu, Tabia hii ni mbaya mno

Ma MC's wa Siku hizi hawana tofauti na Manesi wa Wodi za Uzazi au wale Wanaopima VVU kwa kuwa Wambea hadi Kero.

Niliwahi kuhudhuria Harusi Moja ni nilipokuwa huko nikamtongoza Muhudhuriaji Mmoja ( Demu ) na kutumia Umafia wangu na kwenda Kumpekecha ( Kumtia ) katika Vyoo vya Kiume vya Ukumbi huo.

Nilipokuwa namuingiza baada ya kudhani hakuna Mtu wa kuja muda huo mara ghafla akaja MC wa Shughuli husika ambaye tunafahamiana na kumuomba auchune ili nimpekeche Mtu ambapo alikubali na kumuamini kuwa hatonichafua kwa Wana Kitaa.

Cha Kushangaza Siku Tatu au Nne baada ya Harusi ile nikaanza kusikia Wana katika Vijiwe vyangu Vikubwa Wanafumba na wanachokifumba kinalenga mule mule nikajua tayari yule MC kafanya yake.

Kwa Hasira juu ya alichonifanyia sikutaka kupoteza muda wangu Kumuuliza bali nilimfanyia Umafia Bintiye wa mwaka wa Kwanza sasa Chuo fulani Posta na Kumpekecha kisha nikatengeneza ajue na kweli alijua kwani niliona akinichukia ghafla na kuacha kunisalimia mpaka alipohama Kitaa.

Ma MC's mjitafakari na badilikeni Ok?
Tarehe 23/3 unafunga miaka mingapi chief
 
Habari za Asubuhi wana-Jukwaa.

Kabla ya yote nawapongeza ma-Mc kwa juhudi zao wakipambania chakula kiende kinywani...

Nimesikitishwa sana baada ya kuonekana kwenye video fupi iliyopostiwa na MC fulani bila idhini yangu, tulikuwa tunacheza na watu wengine tuliokutana ukumbini... SIJAPENDEZWA!

Ma-MC ifike mahali wawe wanaomba idhini kwa wahusika, akiridhia sawa asiporidhia si sawasawa kuipandisha kwenye mitandao ya kijamii. Tuna wake, watoto na nafasi kidogo katika jamii.

Unakuta mdada kavaa nguo ya sherehe, anafurahia ndugu, rafiki kaoa/kaolewa bahati mbaya akatumia kilevi kikamkolea, akijiachia kucheza tuu...kesho yuko kwenye page ya MC fulani.

Jipromotini bila kudhalilisha wengine.

Huyu MC ntakula nae sahani moja!

Nahitaji anilipe Fidia ya bilioni moja kwa kadhia zote nilizozipata baada ya kupost video ile.
Lete video kwanza tukushauri kama ukadai iyo 1B au uache
 
tuone hiyo clip yenyewe mkuu
 
Mleta mada MC angeweka video yako ya kunyanduana kweli ungedai hiyo bilioni moja lakini video ya kwenye sherehe.
Nakushauri hiyo nguvu ya kuhangaika na kesi kamalizie kitandani umfurahishe mwenzio.
 
Mbali ya Mc kuna wengi wana simu za kisasa na wanamiliki page kwenye social media nyingi.
Kikubwa tunza utu wako sehemu za watu wengi.
 
Kama ni kucheza tu pana ubaya gani? Si ndio maana ulicheza hadharani. Lazima kuna kitu kitakuwa hakiko sawa ndio maana hofu yakushika
Sio kila mtu anapenda maisha yake yaanikwe public, ndio maana mwingine hata kama ukipost tu picha yake kwenhe mitandao anakwambia futa

Ni vizuri tukaheshimu maisha ya watu na kuomba idhini kabla ya kupost chochote
 
Mnaishi utopia, real world mtapostiwa tu, hata akifuta ushapostiwa na wa kuscreen shot washafanya yao.
 
Sio kila mtu anapenda maisha yake yaanikwe public, ndio maana mwingine hata kama ukipost tu picha yake kwenhe mitandao anakwambia futa

Ni vizuri tukaheshimu maisha ya watu na kuomba idhini kabla ya kupost chochote
Endapo hutaki kupostiwa picha yako na watu jitahidi sana kukwepa matukio yanayohusu watu,ishi kama mzimu/msukule.
Otherwise jasho la kwapa na sehemu za siri litakuvuja bure bila sababu.
 
Habari za Asubuhi wana-Jukwaa.

Kabla ya yote nawapongeza ma-Mc kwa juhudi zao wakipambania chakula kiende kinywani...

Nimesikitishwa sana baada ya kuonekana kwenye video fupi iliyopostiwa na MC fulani bila idhini yangu, tulikuwa tunacheza na watu wengine tuliokutana ukumbini... SIJAPENDEZWA!

Ma-MC ifike mahali wawe wanaomba idhini kwa wahusika, akiridhia sawa asiporidhia si sawasawa kuipandisha kwenye mitandao ya kijamii. Tuna wake, watoto na nafasi kidogo katika jamii.

Unakuta mdada kavaa nguo ya sherehe, anafurahia ndugu, rafiki kaoa/kaolewa bahati mbaya akatumia kilevi kikamkolea, akijiachia kucheza tuu...kesho yuko kwenye page ya MC fulani.

Jipromotini bila kudhalilisha wengine.

Huyu MC ntakula nae sahani moja!

Nahitaji anilipe Fidia ya bilioni moja kwa kadhia zote nilizozipata baada ya kupost video ile.
Uko sahihi Sana.
 
Ulipoenda kwenye mkusanyiko ulitegemea nini???
Huko si kuna makamera na kila mtu Ana rekodi video ama kupiga picha ovyoovyo kwa sim zao

Ova
Privacy Mkuu, sio kila mtu anapenda kubandikwa kwenye mitandao ya kijamii aonwe na kila mtu. Halafu ukumbini sio sawa na mtandaoni.
 
Ni swala la mwenye shughuli kuweka masharti ya picha zake kutotumika popote pale bila idhini yake
 
Cha msingi ndio hicho tu, mbn kimya wengine tunaenda kwenye masherehe lkn hatukutani na kadhia hiyo? Na tunacheza na kufurahi, Muhimu kijiheshimu na kucheza kistaarabu tu.!! Maana mitandao siku hizi Kila mahali.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Mkuu, vipi kama umecheza kistaarabu tu na bado MC kakuposti mtandaoni, bila ridhaa yako? Kwako ni sawa tu?
 
Ni suala la kujicontroll tu kwenye haya mambo yanayohusisha watu wengi picha hazikosekaniki.

Sasa kama wewe unajiachia kama libata na bia kichwani itakula kwako kesho yake bia ztakapoisha [emoji119]
 
Wakati mwingine hawa ma-MC hata tukio la kawaida wanaweka kwenye mitandao na unajua kila mtu ana tafsiri tofauti juu ya jambo, hapo ndio tafrani inapoanza, sio swala la kutokujiheshimu, watu mnapokua kwenye sherehe maana yake mnafurahi na kucheza sasa mtu unachukua video unaweka kwenye mitandao bila kujua mapokeo ya jamii na tafsiri zake sinaweza kuathiri familia kiasi gani

Else watu wakae kwenye sherehe kama vile wapo msibani, hakuna kufurqhu,kucheza wala kujiachia

Mtu anakata kakipande ambako kanavuta attention kwa manufaa yake anaacha mwendelezo halisi, jamii inaenda kujazia uongo [emoji3064]
 
Back
Top Bottom