Ma Mc's ( washehereshaji a.k.a wasema chochote) acheni hii tabia ya kitoto

Kuna huwa wanadhani kusimama mbele za umati wa watu kucheza mziki ni jambo la kawaida sana kwa kila mtu.

Hawajui kuna wengine hata kukatisha kwenye mtaa wenye watu kibarazani ni kazi kubwa sasa ndio sembuse umsimamishe mbele ya halaiki ya watu acheze.

Nadhani haya mambo waache.
 
Afu mi kinachoniketa zaidi mkuu, kwa nn iwe kwaito tuu
 
Back
Top Bottom