Afu mi kinachoniketa zaidi mkuu, kwa nn iwe kwaito tuuKuna huwa wanadhani kusimama mbele za umati wa watu kucheza mziki ni jambo la kawaida sana kwa kila mtu.
Hawajui kuna wengine hata kukatisha kwenye mtaa wenye watu kibarazani ni kazi kubwa sasa ndio sembuse umsimamishe mbele ya halaiki ya watu acheze.
Nadhani haya mambo waache.
Mauno yapo kwanza? 🤣🤣🤣 Nenda huwezi jua ukapata safari nyingine hapo.🥴Aaah mi siwez nimekataa kabisa kunyonga yale mauno ya kwaito kwa kweli