Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Uyo martin anafuatilia ata Mpira kweli..?manake izo sifa sasa...inaonyesha namba Moja ndo tabia take kuanzia vidudu had I phd
Oiii hawa jamaa kusoma ni spirit [emoji23] [emoji23]
 
Anaitwa Mwarami Shabani..
 
Mkuu katika List ya AZANIA olev 2004 Hilo jina halipo
Mkongwe uyo , atakuwa 2001 or 2002.
Nachokumbuka alipata math B, addition Math A.
Kwa O'level alikuwa mzuri zaidi kwenye Physics ambayo pia alipata A.
A level alikuwa mzuri wa math alipata A na masomo mengine D na kupelekea kupata 1.9
 
Mkongwe uyo , atakuwa 2001 or 2002.
Nachokumbuka alipata math B, addition Math A.
Kwa O'level alikuwa mzuri zaidi kwenye Physics ambayo pia alipata A.
A level alikuwa mzuri wa math alipata A na masomo mengine D na kupelekea kupata 1.9

Nilisoma Adv kwake VICTORIA ACADEMY akatuambia alimaliza 6 PUGU 2006 akapata 1.7

PHYSICS-B
CHEM-D
MATH-A

Ila olev alituambia alipiga AZANIA div 1.9 akiwa na "A" 5 ikiwemo PHYSICS,CHEM,MATH,AD MATH,BIO....

Ila sana nikimwangalia katika matokeo ya 2003 azania na 2006 pugu simuoni kabisa
 

Huyu Binti ndio anaitwa IMMACULATE MOSHA aliyekuwa wa kwanza FORM 4 ,2009 akifuatiwa na GWAMAKA..Binti alipohojiwa TBC akasema kama GWAMAKA akinipita FORM 6 nitakubali anioe bure kabisa.Matokeo ya 6 yeye na GWAMAKA wote walipata one ya 4 na wote wakaingia TOP 10 ila IMMACULATE wa 5 na GWAMAKA wa 8πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Inaonyesha MBUYU unaelea juu ya MAJI
You cant be serious.

Nimekuuliza kwa nia njema kabisa kuelewa hao ma genius wetu labda wametoa solution ya P versus NP, Hodge Conjecture, Riemann hypothesis, Yang-Mills existence and smoothness au Birch and Swinnerton-Dyer conjecture, labda wakaificha katika picha kwa steganography.

But what do you know about that?
 
Dah kwanza nikuombe msamaha mkuu maana nilichukulia swali lako kijuu juu tu.Dah umenikumbusha Millenium Problems,,hawa ni wameza maelezo ya kwenye vitabu mkuu
 
Mm najiona ndio gwiji dunian Hgl division 1-8 bila walimu+ chakula kibaya+shule mbaya. Hapo akina Chegere wenu hawaniwezi. Ninge compete nao kwenye mazingira sawa, Nina uhakika ningewaburuza sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah kwanza nikuombe msamaha mkuu maana nilichukulia swali lako kijuu juu tu.Dah umenikumbusha Millenium Problems,,hawa ni wameza maelezo ya kwenye vitabu mkuu
Kwa nini hawa wetu wanameza maelezo ya kwenye vitabu tu na kina Perelman wana solve Millennium problems?

Clearly hawa wetu nao ni vipanga mpaka kufikia kuwa T.O.

Tatizo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…