mangosutu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 684
- 955
Form four ajamaliza Mwaka 2003, na ajapata A ya math o' level.
Form six alimaliza mwaka 2005 na sio 2006, inawezekana alipata point 7 nachokumbuka alikuwa na A moja tu ya math.
Form six alimaliza mwaka 2005 na sio 2006, inawezekana alipata point 7 nachokumbuka alikuwa na A moja tu ya math.
Nilisoma Adv kwake VICTORIA ACADEMY akatuambia alimaliza 6 PUGU 2006 akapata 1.7
PHYSICS-B
CHEM-D
MATH-A
Ila olev alituambia alipiga AZANIA div 1.9 akiwa na "A" 5 ikiwemo PHYSICS,CHEM,MATH,AD MATH,BIO....
Ila sana nikimwangalia katika matokeo ya 2003 azania na 2006 pugu simuoni kabisa