Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Nilisoma Adv kwake VICTORIA ACADEMY akatuambia alimaliza 6 PUGU 2006 akapata 1.7

PHYSICS-B
CHEM-D
MATH-A

Ila olev alituambia alipiga AZANIA div 1.9 akiwa na "A" 5 ikiwemo PHYSICS,CHEM,MATH,AD MATH,BIO....

Ila sana nikimwangalia katika matokeo ya 2003 azania na 2006 pugu simuoni kabisa
Basi ni mhuni tu
Maana wengi wanadanganya wenye tuition center hizo
 
Kukimbiza kimasomo Wamarekani si kitu hatari. Mbona hata mimi si T 2000 lakini Wamarekani nimewakimbiza mpaka mwalimu kanikataza nisije kwenye mtihani wa mwisho, jinsi nilivyochachafya darasani na kwenye coursework (philosophy class by the way, si math). Mpaka sikuamini nikamuuliza atanipa maksi gani? Akasema wewe ni A tu. Ulivyofanya ni level ya masters wakati unasoma bachelor.

So nina hakika mfumo wa masomo wa Tanzania unabana watu kibao ambao wakija Marekani, the average American student anakuwa nyuma ya tge average Tanzanian.

Tatizo ukitoka kwenye average uende kwa vipanga huko.

Hukibsina hakika sana.

hahaaahaaaaa umenchekesha, nliuliza hivyo coz kwenye top & ivy league universities za marekani eg harvard, yale, cornell, duke, MIT etc zina-attract very smart students from all around the world, so i thought ma T.O wa hapa kwetu watapata tougher time kushika nafasi ya kwanza wakifika huko Al-Watan
 
Montserrat.jpg

Huyu Binti ndio anaitwa IMMACULATE MOSHA aliyekuwa wa kwanza FORM 4 ,2009 akifuatiwa na GWAMAKA..Binti alipohojiwa TBC akasema kama GWAMAKA akinipita FORM 6 nitakubali anioe bure kabisa.Matokeo ya 6 yeye na GWAMAKA wote walipata one ya 4 na wote wakaingia TOP 10 ila IMMACULATE wa 5 na GWAMAKA wa 8🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Ila huenda hawakuwa combination moja siajabu huyu binti alikuwa H kunani uko hahaha
Kwa hiyo jamaa alikosa mzigo ivi ivi duuh
 
Vichwa vibovu tu hakuna cha uvivu.

Hawa ma T.O wanasoma sana usiwaone hivyo, on average T.O anasoma masaa 10 kila siku, sometimes they spend sleepless nights kisa kusoma, mm naamini kuna wanafunzi wengi tanzania wana uwezo mkubwa wa kiakili wa kuingia top 10 kitaifa/au kupata div 1 point 7 "O" level, sema ni wavivu kusoma Super Sub Steve
 
Log boy..
Jamaa alikuwa anamkubali sana babu .
sema nae yko vizuri pure ila anabore kumdiss dis mwarami mda wote.

Boss nawe ulipita yale maeneo kumbe. .??
Mwarami ni yupi maana nina school mate wangu mmoja alikuwa mzur academically japo hakunifikia,alisoma azani olevel advance mzizima ni mwembamba nahc anakaa mbagala
 
Mwarami ni yupi maana nina school mate wangu mmoja alikuwa mzur academically japo hakunifikia,alisoma azani olevel advance mzizima ni mwembamba nahc anakaa mbagala
pocbl atakuwa huy jamaa anapigaga pind maarifa tandika yuko na kina Lingo
 
Back
Top Bottom