Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Hawa ma T.O wanasoma sana usiwaone hivyo, on average T.O anasoma masaa 10 kila siku, sometimes they spend sleepless nights kisa kusoma, mm naamini kuna wanafunzi wengi tanzania wana uwezo mkubwa wa kiakili wa kuingia top 10 kitaifa/au kupata div 1 point 7 "O" level, sema ni wavivu kusoma Super Sub Steve
Kaka umeongea neno kabisa, nikakubaliana na wewe hawa Ma-TO wanaspend more time than ana average student coz wanajua kabisa wanataka nini.
 
Hawa ma T.O wanasoma sana usiwaone hivyo, on average T.O anasoma masaa 10 kila siku, sometimes they spend sleepless nights kisa kusoma, mm naamini kuna wanafunzi wengi tanzania wana uwezo mkubwa wa kiakili wa kuingia top 10 kitaifa/au kupata div 1 point 7 "O" level, sema ni wavivu kusoma Super Sub Steve

Acheni kujidanganya na kutoa visingizio visivyokuwa na sababu. Kweli kusoma might be the case for their flying color passmarks, lakini kumbuka pia kuna kuelewa. Kwa maana unaweza kesha na usielewe. Na kuna baadhi nawafahamu hawakuwa wasomaji kiviile but matokeo yao yaliwaingiza top 10.

Usidanganywe, those T.O and top 10 dudes have something special in them. Nimepata bahati ya kuishi nao baadhi maisha ya shule na ninachoweza sema ni kuwa wapo vizuri in what they do.
 
Mwarami ni yupi maana nina school mate wangu mmoja alikuwa mzur academically japo hakunifikia,alisoma azani olevel advance mzizima ni mwembamba nahc anakaa mbagala
huyo alisomaga tabor a boys akahamishiwa pugu boys advnce ila o level sawa Azania na nimwembamba pia
 
Tukiwa form five pale Pugu, kuna kichwa kichwa tulikikuta chenyewe kilikua form six PCM jamaa alikua ni mbaya sana wa namba form six wa 2009 watakua wanamkumbuka huyu Pugu Boy sema jina limenitoka.

Pepa za namba za Mock, kwa Manyilizu zote hadi taifa jamaa aliwakimbiza balaa.

Mshikaji alienda UDSM Mineral Engineering ila sijui kwa sasa yupo wapi..?!!
Hahaha Mzee was pond nambie ulikwa unakaa wapi azimio maendeleo hivi babu nzoi yupo?
 
Nilisoma Adv kwake VICTORIA ACADEMY akatuambia alimaliza 6 PUGU 2006 akapata 1.7

PHYSICS-B
CHEM-D
MATH-A

Ila olev alituambia alipiga AZANIA div 1.9 akiwa na "A" 5 ikiwemo PHYSICS,CHEM,MATH,AD MATH,BIO....

Ila sana nikimwangalia katika matokeo ya 2003 azania na 2006 pugu simuoni kabisa
Huyo hakumaliza pugu2006 mir nimemaliza pale 2006
 
jamaa naskia alikuwa mkimya sana bwana mgimba, Tena jamaa naskia kina Gwamaka walikuwa wanamskia chini chin.. Hiv Minaki shule kubwa nayo?!, na huyu bwana faith alisoma chuo gani?!
 
jamaa naskia alikuwa mkimya sana bwana mgimba, Tena jamaa naskia kina Gwamaka walikuwa wanamskia chini chin.. Hiv Minaki shule kubwa nayo?!, na huyu bwana faith alisoma chuo gani?!
FAITH wa MARIAN G,,Minaki inahadhi sawa na AZANIA tu.Kashule Fulani hivi polini huko,,ukitoka PUGU BOYS Unadaka Gari za Kisarawe unashukia MINAKI.
 
Mbali na uTO wapo wapi na wanafanya nn kupitia ugenius wao au ndo imebaki story tu za uTO???
 
Back
Top Bottom