Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

hao wote,hakuna ktu , benadino mgimba ndo kiboko yako. Kasoma kata then MINAKI shule ya kawaida ila kawa wa tatu kitaifa na bado mlimani kawambiza sana. So huwez kulinganisha na hao waliosoma feza au marian
Point of correction Mkuu Jamaa alikiwa wa pili mkuu...

Huyo dogo alitokea from no where kwa kweli....
 
Hahaha Mzee was pond nambie ulikwa unakaa wapi azimio maendeleo hivi babu nzoi yupo?
Kupiga gitaa muhimu kaka, mzee wa Physics tulimuacha ase, sijui kwa sasa kama bado yupo au laa maana miaka yake imesonga balaa
 
Babu nilikaa nae dawati moja pale maarifa mwaka 2009 katika zile test za jumamos.jamaa hatar ana speed katika pepa na ana very good handwriting.yan alikua anaomb extra writing pad wakat muuni cjui hata Kama ntafik page NNE .jamaa alienda turkey cjui Kama amerud

Now yupo US Florida anapiga MASTERS
 
Mkuu hadi ile kofia nyeusi ya kizamani fulani hivi uliibeba? Upo vizuri man!
 
Zawadi Mdoe alikua kichwa sana. Nahisi anasoma masters sasa hivi maana kamaliza degree ya kwanza udsm akisomea chemical and industrial engineering akipata GPA ya 4.9. Deadboy endelea kutupa hizi stori za best students Kama unazo

Maisha safi shule nguo, anakaa masaki ya moro lazima awe vzr kichwani
 
Back
Top Bottom