Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

hao wote,hakuna ktu , benadino mgimba ndo kiboko yako. Kasoma kata then MINAKI shule ya kawaida ila kawa wa tatu kitaifa na bado mlimani kawambiza sana. So huwez kulinganisha na hao waliosoma feza au marian
Point of correction Mkuu Jamaa alikiwa wa pili mkuu...

Huyo dogo alitokea from no where kwa kweli....
 
Hahaha Mzee was pond nambie ulikwa unakaa wapi azimio maendeleo hivi babu nzoi yupo?
Kupiga gitaa muhimu kaka, mzee wa Physics tulimuacha ase, sijui kwa sasa kama bado yupo au laa maana miaka yake imesonga balaa
 

Now yupo US Florida anapiga MASTERS
 
Mkuu hadi ile kofia nyeusi ya kizamani fulani hivi uliibeba? Upo vizuri man!
 
Zawadi Mdoe alikua kichwa sana. Nahisi anasoma masters sasa hivi maana kamaliza degree ya kwanza udsm akisomea chemical and industrial engineering akipata GPA ya 4.9. Deadboy endelea kutupa hizi stori za best students Kama unazo

Maisha safi shule nguo, anakaa masaki ya moro lazima awe vzr kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…