Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Kuna mwanakijiji wa Tanzania nimesikia leo BBC World Service, katengeneza kinu cha kufua umeme 28 kilowatt, anasambaza umeme kijiji kizima kwa kinu cha umeme alichokitengeneza mwenyewe.

Huyu kwangu ni bonge la TO hata kamahajasoma.


 
Huyu ndio T.O mwenzetu sasa
Nashangaa nakuja kumsikia BBC, bongo hata hawamtangazi.

Na anaweza kufungwa kwa kuzalisha umeme bila kibali.

Tanzanian innovator builds hydropower plant for village
People in John Mwafute's village used to call him a dreamer.

But that was before he built his village a hydropower plant that brings electricity to more than 250 households.

Video journalist: Eagan Salla

 

Nasikia kuna mwanasayansi alikuwa na vitu kichwani lakini ukisema apresent kwa kuandika alikuwa anafeli.Hope hata huyu mwanakijiji ni great scientist lkn ukimpeleka kwenye matheory huko ya mambo ya Umeme najua atafeli tu.
MaTO wetu sijui kama wanaweza kutengeneza hata umeme wa kusambaza nyumba mbili
 
Mkuu uliyosema baadhi ni ni kweli ila kuhusu Sylivester kujitamba hivyo umeongopa jamaa tulisoma nae pale kibaha boy alikuwa simple ni mtu asiye jitapa nilikuwa kilaza wa kemia ivyo alikuwa anisaidia sikuwai kusikia neno lolote la kujigamba in short alikuwa humble na mpole sema watu (mashabiki) ndo walikuwa wakimliganisha na hao jama
 

Hawa ma T.O amini usiamini nahic wamekariri math review, na kile kitabu cha abott kizima cha physics for eg: wolfgang seiya, wakati tupo form 3 tulimuuliza maswali magumu ya physics, ya kitabu cha Abbot ya heat, alitusolvia yote, na majibu aliyapata exactly kama yalivyoandikwa nyuma ya kitabu..vitu ambavyo hatukufundishwa darasani, wazee mliochukua sayansi O LEVEL nadhani mnaelewa kitabu cha abbot kilivyo Kiny Deadbody theriogenology
 
Nilikuwa natamani Sana kujua mathematics Ila sasa.
 
Aboot ilikuwa noma sana ,adv math kuna TRANTA.
 
We utakuwa ndio "babu"? Nawaza tu, ila Uzi mzuri sana huu, unaleta mzuka flan, I wish ningekuwa back to school (hakuna wakati mzuri wa kutamba kielimu kama secondary, chuo pia ila sio saaana)
Thanks mzee baba Uzi mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…