Xavier Africa
Senior Member
- Oct 4, 2017
- 180
- 384
Kawa mlevi kichizi jamaa alipiga telecomNaandaa data za T.O 1993 Mzumbe anaitwa LUSEKELO...Nikipata naiman mzigo utakuwa HEWANI JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawa mlevi kichizi jamaa alipiga telecomNaandaa data za T.O 1993 Mzumbe anaitwa LUSEKELO...Nikipata naiman mzigo utakuwa HEWANI JF
Ha ha ha nyondo ni [emoji91] mpaka chuo mzee babaNlisoma kibaha wakati babu A.K.A Jamali na Sylverster wakiwepoo...!! Babu alikuwa anasomaaaaa sio kawaidaa... dorm huwezi mkuta amelala kitanda chake alimpa dogo awe analala pale Pangani dorm C... Sylverster jamaa alikuwa mashoto yanii mkono mmoja anasolve mwingne anabonya Calculator... Kuna jamaa alikuwa Anaitwa Aude kileo hata hakuwa mkali sanaa na wala alikuwa hasikikii but mwisho wa siku akawa T.O.. ilaa tokaa mwaka 2009 nliongia kibaha mpaka 2016 watu nliowahi kuwakubali ni Vichwa ni..
PASCAL SONGORO
PETER URIO
SYLVESTER
GOODLUCK NYONDO..!
Huyo kasoma form one Hadi sixWe jamaa umesoma miaka mingapi kibaha toka 2009 adi 2016
Afu huyo babu tumeambiwa kasoma feza
Wewe mbona unamuelezea kuwa kasoma kibaha?
Jamaa kajichanganya kea mihemko tu ila namfahamu kaanza kibaha 2009hadi 2015 Yuko muhimbili nowSasa walioanza form one 2009 walimaliza 6 mwaka 2015 mkuu.Jamaa yeye kaanza 2009------2016 ndio tulichoshtukia hicho
Haina nouma mkuu nadhani hata yeye atarudii hapa jukwaaniMwambie JUMA PULUSA anakusalimia
Huyu ni zaidi ya Genious....si primary...o level advance chuo pia....anyway tena alikuwa TO kwa course ambayo ni ngumu zaido kuwa TO kwa nature yake...EGM. anyway atleast tunaona na achievements zake. Na miaka imekata sana so ma TO wa sasa sijui vizuri wanaishia wapi....but nchi inapoteza sana watu kwa mfumo mbovu...hawa ndio watu wa kusimamia na kujenga sana nchi...tena hawa wangekuwa hata wanabebwa na taasisi nyeti ilimradi wasitumike kisiasa....nakumbuka ma TO wachache wa kuanzia 2001 kupanda juu.....SEBASTIAN ERNEST -MARA......MOSSES MWIZARUBI-ILBORU....MARTIN CHEGERE - PUGU..MAUA......NA WENGINE WENGI TU KIBAHA.....TABORA BOYS.. ZAMANI SHULE RAHA SANAMartin darasa la saba alikuwa T.O Ukonga
OKHuyo kasoma form one Hadi six
Kweli nimeamini unawakumbuka wachache sana tangu 2001 mpaka 2017 ata10 hawajafikaHuyu ni zaidi ya Genious....si primary...o level advance chuo pia....anyway tena alikuwa TO kwa course ambayo ni ngumu zaido kuwa TO kwa nature yake...EGM. anyway atleast tunaona na achievements zake. Na miaka imekata sana so ma TO wa sasa sijui vizuri wanaishia wapi....but nchi inapoteza sana watu kwa mfumo mbovu...hawa ndio watu wa kusimamia na kujenga sana nchi...tena hawa wangekuwa hata wanabebwa na taasisi nyeti ilimradi wasitumike kisiasa....nakumbuka ma TO wachache wa kuanzia 2001 kupanda juu.....SEBASTIAN ERNEST -MARA......MOSSES MWIZARUBI-ILBORU....MARTIN CHEGERE - PUGU..MAUA......NA WENGINE WENGI TU KIBAHA.....TABORA BOYS.. ZAMANI SHULE RAHA SANA
Huyo peter urio alikuwa pcb ila moto wake haukuwa wa nchi hii ila ndio hivyo akubahatika kuingia top tenNlisoma kibaha wakati babu A.K.A Jamali na Sylverster wakiwepoo...!! Babu alikuwa anasomaaaaa sio kawaidaa... dorm huwezi mkuta amelala kitanda chake alimpa dogo awe analala pale Pangani dorm C... Sylverster jamaa alikuwa mashoto yanii mkono mmoja anasolve mwingne anabonya Calculator... Kuna jamaa alikuwa Anaitwa Aude kileo hata hakuwa mkali sanaa na wala alikuwa hasikikii but mwisho wa siku akawa T.O.. ilaa tokaa mwaka 2009 nliongia kibaha mpaka 2016 watu nliowahi kuwakubali ni Vichwa ni..
PASCAL SONGORO
PETER URIO
SYLVESTER
GOODLUCK NYONDO..!
Mkuu mtu aliyeacha history mzumbe ni gwamaka bada ya o.level kubeba gamba zote kumi na advance pia hakuacha kwenye comb chochotekuna fundi mmoja alikua yupo mzumbe remix alikua anaitwa Kwiza jamaa alimalizia mzumbe no alitia 100% na yaliyobaki yote A kwa kifupi PCM alitia 3 mwaka wake jamaa alikufund sana akawa anachukua tele pale udsm ni mda sana ila dogo asa ivi anakula maisha....
wote waliopitia mzumbe remix na mzumbe a level watakua wanamfahamu uyo fundi mpaka kupewa na cheti juu kwenye no