Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Nlisoma kibaha wakati babu A.K.A Jamali na Sylverster wakiwepoo...!! Babu alikuwa anasomaaaaa sio kawaidaa... dorm huwezi mkuta amelala kitanda chake alimpa dogo awe analala pale Pangani dorm C... Sylverster jamaa alikuwa mashoto yanii mkono mmoja anasolve mwingne anabonya Calculator... Kuna jamaa alikuwa Anaitwa Aude kileo hata hakuwa mkali sanaa na wala alikuwa hasikikii but mwisho wa siku akawa T.O.. ilaa tokaa mwaka 2009 nliongia kibaha mpaka 2016 watu nliowahi kuwakubali ni Vichwa ni..

PASCAL SONGORO
PETER URIO
SYLVESTER
GOODLUCK NYONDO..!
Ha ha ha nyondo ni [emoji91] mpaka chuo mzee baba
 
So interesting...hawa vijana wako wapi sa hv.. Hope washamaliza vyuo wengine....motivation kubwa sana hii...nimempa salute Silvester
 
Martin darasa la saba alikuwa T.O Ukonga
Huyu ni zaidi ya Genious....si primary...o level advance chuo pia....anyway tena alikuwa TO kwa course ambayo ni ngumu zaido kuwa TO kwa nature yake...EGM. anyway atleast tunaona na achievements zake. Na miaka imekata sana so ma TO wa sasa sijui vizuri wanaishia wapi....but nchi inapoteza sana watu kwa mfumo mbovu...hawa ndio watu wa kusimamia na kujenga sana nchi...tena hawa wangekuwa hata wanabebwa na taasisi nyeti ilimradi wasitumike kisiasa....nakumbuka ma TO wachache wa kuanzia 2001 kupanda juu.....SEBASTIAN ERNEST -MARA......MOSSES MWIZARUBI-ILBORU....MARTIN CHEGERE - PUGU..MAUA......NA WENGINE WENGI TU KIBAHA.....TABORA BOYS.. ZAMANI SHULE RAHA SANA
 
Haya ni matokeo ya TO 2013 ILBORU anaitwa ERASMI ,,,,Hakuna mtu aliyethubutu kupata "B" PHYSICS
upload_2017-12-24_3-54-19.png
 
Huyu ni zaidi ya Genious....si primary...o level advance chuo pia....anyway tena alikuwa TO kwa course ambayo ni ngumu zaido kuwa TO kwa nature yake...EGM. anyway atleast tunaona na achievements zake. Na miaka imekata sana so ma TO wa sasa sijui vizuri wanaishia wapi....but nchi inapoteza sana watu kwa mfumo mbovu...hawa ndio watu wa kusimamia na kujenga sana nchi...tena hawa wangekuwa hata wanabebwa na taasisi nyeti ilimradi wasitumike kisiasa....nakumbuka ma TO wachache wa kuanzia 2001 kupanda juu.....SEBASTIAN ERNEST -MARA......MOSSES MWIZARUBI-ILBORU....MARTIN CHEGERE - PUGU..MAUA......NA WENGINE WENGI TU KIBAHA.....TABORA BOYS.. ZAMANI SHULE RAHA SANA
Kweli nimeamini unawakumbuka wachache sana tangu 2001 mpaka 2017 ata10 hawajafika
 
Nlisoma kibaha wakati babu A.K.A Jamali na Sylverster wakiwepoo...!! Babu alikuwa anasomaaaaa sio kawaidaa... dorm huwezi mkuta amelala kitanda chake alimpa dogo awe analala pale Pangani dorm C... Sylverster jamaa alikuwa mashoto yanii mkono mmoja anasolve mwingne anabonya Calculator... Kuna jamaa alikuwa Anaitwa Aude kileo hata hakuwa mkali sanaa na wala alikuwa hasikikii but mwisho wa siku akawa T.O.. ilaa tokaa mwaka 2009 nliongia kibaha mpaka 2016 watu nliowahi kuwakubali ni Vichwa ni..

PASCAL SONGORO
PETER URIO
SYLVESTER
GOODLUCK NYONDO..!
Huyo peter urio alikuwa pcb ila moto wake haukuwa wa nchi hii ila ndio hivyo akubahatika kuingia top ten
 
kuna fundi mmoja alikua yupo mzumbe remix alikua anaitwa Kwiza jamaa alimalizia mzumbe no alitia 100% na yaliyobaki yote A kwa kifupi PCM alitia 3 mwaka wake jamaa alikufund sana akawa anachukua tele pale udsm ni mda sana ila dogo asa ivi anakula maisha....

wote waliopitia mzumbe remix na mzumbe a level watakua wanamfahamu uyo fundi mpaka kupewa na cheti juu kwenye no
Mkuu mtu aliyeacha history mzumbe ni gwamaka bada ya o.level kubeba gamba zote kumi na advance pia hakuacha kwenye comb chochote
 
Back
Top Bottom