Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Juma, Sylvester na Gwamaka wako wapi sasa na wanafanya nini...update please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo private mkuuu 💩 sio cha kataDogo hii kama vile info.Upo Udom Cive?
Hakuwa TO darasa la saba ,unazingua.TO wa darasa la 7 alipangwa Form one ilboru 2001 , Na Martin Chegere akaenda Maua Seminary.huyu jamaa
alikuwa TO darasa la saba...
TO kidato cha nne...
TO kidato cha sita...
Mtihani wa matriculation UDSM na vilaza wengine tukiudhuria aliongoza...
Mwaka wa mwisho akimaliza shahada ya kwanza Aliongoza chuo kizima.
ni kijana mdogo mwenye PHD.
pamoja na yote huyu mdau ni mnyenyekevu wala hana mbwembwe.
Picha: Mtanzania mwenye umri mdogo ahitimu PhD ya Uchumi nchini Sweden
Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana Tanzania
Wa form six 2015 ramadhan gembeYupo wapi Na anaitwa nani?
Kuna jamaa anaitwa ramadhan gembe,olevel alimaliza ilboru 2012 akapiga one ya kumi,feza wakamchukua akapiga Alevel PCB akawa TO 2015 na 1.3,akaenda MUHAS nako MD nako naskia alikua best studentWa form six 2015 ramadhan gembe
so huyu demu sa hivi yuko chungu kimoja na mkurugenzi wa TPDC siyo, 60m/mHuyo demu wa Tano kitaifa mwaka huo 2012 ,huyo Immaculate Mosha ,alipata scholarship South Africa ,Cape town university ,then akaenda kufanya kazi Amazon , Microsoft na sasa hivi yuko Google , Washington Marekani kama software engineer .
Kama hukuwa na akili darasani na Bado kwenye top ten ya matajiri Tanzania haupo Bado na wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengineKuwa na id mpya haimaanishi huwezi kuutathmini upumbavu. Kama ulikuwa unafaulu darasani na hujawin in life wewe ni mpuuzi. Hawa mlikuwa mnawasifia wasolve maswali magumu na wao wakajiona miamba, instead of focusing on learning other life skills wao kutwa busy na mivitabu ili wapate sifa kwenu. Now wapo huko jalalani. Ujinga mtupu
Huyo mkurugenzi wa TPDC haoni ndani hata kwa nusu kwa mshahara WA software engineer WA Google ,Amazon au Microsoft ,Kule mshahara wa kuanzia ni 100,000$ kwa mwaka tena huyo ni entry job engineer , na actually huwa ni 125,000 $ na inaenda mpaka 220,000$ kwa mwaka kwa experienced engineer ,sasa huyo demu hakuingia Google kama entry job engineer huyo inexperienced tayari so hapo fanya 150000$ kwa mwaka that's means anavuta zaidi ya milioni mia tatu kwa mwakaso huyu demu sa hivi yuko chungu kimoja na mkurugenzi wa TPDC siyo, 60m/m
Hakuwa TO darasa la saba ,unazingua.TO wa darasa la 7 alipangwa Form one ilboru 2001 , Na Martin Chegere akaenda Maua Seminary.
Kabanduliwe mbele ya safariKama hukuwa na akili darasani na Bado kwenye top ten ya matajiri Tanzania haupo Bado na wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine
Ndio mpo nae mtaani huko anazunguka zunguka?Kuna jamaa anaitwa ramadhan gembe,olevel alimaliza ilboru 2012 akapiga one ya kumi,feza wakamchukua akapiga Alevel PCB akawa TO 2015 na 1.3,akaenda MUHAS nako MD nako naskia alikua best student
TunajuaHuyo demu wa Tano kitaifa mwaka huo 2012 ,huyo Immaculate Mosha ,alipata scholarship South Africa ,Cape town university ,then akaenda kufanya kazi Amazon , Microsoft na sasa hivi yuko Google , Washington Marekani kama software engineer .
Mdoe anasomea phd ya nnFaith Assenga ni auditor Delloite , Zawadi Mdoe anasoma Phd Norway huko
Anapiga gambe sasaivi huyoWa form six 2015 ramadhan gembe
Huyo salome yupo wapi asa hiviPia Martin Chegere hakuwa best student udsm mwaka 2010
Best student wa udsm alikuwa binti anaitwa Salome Maro.
Martin chegere hakuongoza udsm nzima