Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Nina jirani yangu bwana mdogo amekuwa best student wa udsm mwaka 2021.. kama kawaida kaingia zake big 4 auditing firm. A level alikuwa best student wa masomo ya biashara ECA
Gpa ya ngapi ?
A level mwaka gani?

Ni ke au me
 
Nina jirani yangu bwana mdogo amekuwa best student wa udsm mwaka 2021.. kama kawaida ajira kaingia zake big 4 auditing firm anachukua milion 2 zao kila mwezi huku anajifunza kazi. A level alikuwa best student wa masomo ya biashara ECA
Hiyo 2m ni mshahara au kianzio
 
Back
Top Bottom