Daah A level kamaliza mwaka gani na shule gani
A Level kasoma Kayumba Benjamin Mkapa. Na O level kasoma kayumba Zanaki
Ila kawambikiza watoto wa kishua wa marian, feza etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah A level kamaliza mwaka gani na shule gani
A level kamaliza mwaka ganiA Level kasoma Kayumba Benjamin Mkapa. Na O level kasoma kayumba Zanaki
Ila kawambikiza watoto wa kishua wa marian, feza etc
A level kamaliza mwaka gani
Duuh ni pisi kali mkuu?2018
Duuh ni pisi kali mkuu?
Ametulia hana maringo au ni vinchen chede?
Duuuh yupo bien huyu dogo 😊😊😊.Pisi kali. Na bata anakula kama kawa
Ila darasani ni mabanda tu mwanzo mwisho.
Picha ipo kwenye profile yake linkedin.
Duuuh yupo bien huyu dogo 😊😊😊.
Woiiih mi nipo mwaka wa 1 chuo mkuuu mi bado yankiii sana 😹 atakuwa mkubwa sana kwanguNenda PWC utamkuta. Kama una mapesa mtongoze umuoe akuzalie watoto vichwa
Woiiih mi nipo mwaka wa 1 chuo mkuuu mi bado yankiii sana 😹 atakuwa mkubwa sana kwangu
Pwc ni wapi kwani
Duuuh aseee noma sana.PWC ni kampuni kubwa sana duniani ya mambo ya accounts
Ipo dunia nzima. Hapa Tanzania wana ofisi Dar es salaam
Hiyo kampuni huwa inaajiri best students tu hasa wa Mzumbe, udsm na udom na lazima sekondari wawe wamepiga Div 1.7 mpaka 10 na A level points 3 mpaka 6 tu,, na first class wapate chuoni hiyo ndio sifa za wafanyakazi wao.
Division 2 kwao ni kama division 0
Duuuh aseee noma sana.
Sema bora mimi sichukui hivyo vitu vya ma bcom sio fani yangu hiyo
Information securityUnasomea vitu gani ?
Information security
Daaah mi sina sifa zozote hapo sio o level wala A level duuhHao pia wanaajiriwa na pwc , maana kuna information system audit wanazifanya kwa wateja wao
Daaah mi sina sifa zozote hapo sio o level wala A level duuh
Labda ntacheki sehemu zingine tu sasa
Maana O level nina 1.13 A ya math
A level 2.11 PCM
Nimepania chuo nichukue best student 😕
Yeah hapo PWC sio riziki ila una uhakika kweli kuwa best student hawakosagi ajira mkuuuKaza sana chuo upige gpa kubwa itakusaidia sana. Gpa kubwa ina fursa nyingi sana. Na best student huwa hakosi ajira
Japo points zako hizo sio level ya kuingia PWC ukachukue milioni 2 zao kila mwezi after chuo tu.
Yeah hapo PWC sio riziki ila una uhakika kweli kuwa best student hawakosagi ajira mkuuu
Maana nimepanga apart from gpa niwe na skills za kutosha kwenye fani hii 🤔
Oooh sawasawa ila nipo private sio public university mkuuBest student hakosi ajira. Pia huwa wanapewa scholarship za kufanya masters.
Baada ya hapo wanaomba nafasi za u lecture
Oooh sawasawa ila nipo private sio public university mkuu
On it shukran 💪Hata kama private. Kaza msuli uwe best student. Mengine yatafata yenyewe