Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 759
New ID hana hata wiki JAMII FORUM.Mkishamaliza huu upumbavu wenu wa kuhesabu marks. Mje mtuambie mna hela kiasi gani sasa maana shule mlishamaliza. Wapuuzi wakubwa
Tuacha makasiriko jamanii kama hatukusoma ni sisi tusiwakasirikie wenye Akili hata kama hawana Hela ni maisha waliyoamua wenyewe.
Maisha ni kupata na kukosa hamna haja ya kumkasirikia mtu. Mtu akiwa na Hela au asipokuwa nazo haikupunguzii chochote, amini unachokiamini wewe.