Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Huyo demu wa Tano kitaifa mwaka huo 2012 ,huyo Immaculate Mosha ,alipata scholarship South Africa ,Cape town university ,then akaenda kufanya kazi Amazon , Microsoft na sasa hivi yuko Google , Washington Marekani kama software engineer .
 
Attachments

  • Polish_20230226_004532009.png
    159.7 KB · Views: 40
  • Screenshot_20230226-004245.png
    65.6 KB · Views: 39
  • Screenshot_20230226-004235.png
    83.8 KB · Views: 40
Hakuwa TO darasa la saba ,unazingua.TO wa darasa la 7 alipangwa Form one ilboru 2001 , Na Martin Chegere akaenda Maua Seminary.
 
Wa form six 2015 ramadhan gembe
Kuna jamaa anaitwa ramadhan gembe,olevel alimaliza ilboru 2012 akapiga one ya kumi,feza wakamchukua akapiga Alevel PCB akawa TO 2015 na 1.3,akaenda MUHAS nako MD nako naskia alikua best student
 
Huyo demu wa Tano kitaifa mwaka huo 2012 ,huyo Immaculate Mosha ,alipata scholarship South Africa ,Cape town university ,then akaenda kufanya kazi Amazon , Microsoft na sasa hivi yuko Google , Washington Marekani kama software engineer .
so huyu demu sa hivi yuko chungu kimoja na mkurugenzi wa TPDC siyo, 60m/m
 
Kama hukuwa na akili darasani na Bado kwenye top ten ya matajiri Tanzania haupo Bado na wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine
 
so huyu demu sa hivi yuko chungu kimoja na mkurugenzi wa TPDC siyo, 60m/m
Huyo mkurugenzi wa TPDC haoni ndani hata kwa nusu kwa mshahara WA software engineer WA Google ,Amazon au Microsoft ,Kule mshahara wa kuanzia ni 100,000$ kwa mwaka tena huyo ni entry job engineer , na actually huwa ni 125,000 $ na inaenda mpaka 220,000$ kwa mwaka kwa experienced engineer ,sasa huyo demu hakuingia Google kama entry job engineer huyo inexperienced tayari so hapo fanya 150000$ kwa mwaka that's means anavuta zaidi ya milioni mia tatu kwa mwaka
 
Hakuwa TO darasa la saba ,unazingua.TO wa darasa la 7 alipangwa Form one ilboru 2001 , Na Martin Chegere akaenda Maua Seminary.

Pia Martin Chegere hakuwa best student udsm mwaka 2010

Best student wa udsm alikuwa binti anaitwa Salome Maro.

Martin chegere hakuongoza udsm nzima
 
Kuna jamaa anaitwa ramadhan gembe,olevel alimaliza ilboru 2012 akapiga one ya kumi,feza wakamchukua akapiga Alevel PCB akawa TO 2015 na 1.3,akaenda MUHAS nako MD nako naskia alikua best student
Ndio mpo nae mtaani huko anazunguka zunguka?
 
Huyo demu wa Tano kitaifa mwaka huo 2012 ,huyo Immaculate Mosha ,alipata scholarship South Africa ,Cape town university ,then akaenda kufanya kazi Amazon , Microsoft na sasa hivi yuko Google , Washington Marekani kama software engineer .
Tunajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…