Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Haya ni matokeo ya TO 2013 ILBORU anaitwa ERASMI ,,,,Hakuna mtu aliyethubutu kupata "B" PHYSICS
View attachment 657941
B zilikuwepo ila madaraja yalikuwa makubwa ,

Hiyo C automatically ni B.

A ilianzia 80-100

B=75-79

C=65-74

D=55-64
E=45-54
S=35-44

F=0-34

Sasa huyo T.O bila shaka alifikisha B sema grades walipandisha sana.

Halafu kingine mwaka huo 2013 division one zilikuwa 284 TZ nzima na one nyingi zilitoka Marian kupitia somo la divinity utakuta mwengine amepata Phys=S lakini divinity kapata A akawa anawekeea ile A ya divinity badala ya S ya phys na kuanzia huo mwaka mpaka leo wakapiga marufuku somo la divinity kupigiwa mahesabu kupata division wakawa wanahesabu yale ya tahsusi tu basi
 
B zilikuwepo ila madaraja yalikuwa makubwa ,

Hiyo C automatically ni B.

A ilianzia 80-100

B=75-79

C=65-74

D=55-64
E=45-54
S=35-44

F=0-34

Sasa huyo T.O bila shaka alifikisha B sema grades walipandisha sana.

Kuna dogo mmoja anasoma UDOM mwaka wa 3 kaniletea ile thread yako ya Lucy TO wa Kike akawaananimsha kuwa hii ni kweli? Nikaangalia kaiona wapi akaniambia WhatsApp.Hii inaonyesha ile imesambaa sana na imehamishiwa WhatsApp saivi...

Me nikamwambia karibu sana JF uwe wa kwanza kuzipata hizi habari,hahahahahah nikaanza kujitamba kuwa mtunzi rafiki yanguuuuu sana aiseeee....

Big Up man
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thread zañgu ambazo huwa naweka mizaha pembeni huwa zinatembea sana.

Nilishawahi kuandika thread kuhusu loan officer wa chuo kikuu ardhi ile thread ilitambaa balaa mpaka nikashangaa
 
Kuna mwana mmoja rafiki yangu Fb alikuwa napigiwa tu makofi kwa thread yangu fulani hivi,nami nikagonga like nikaamsha....
 
Mwageni nimesoma nae Chuo yule jamaa kwa hesabu ni LEVEL zingine, kuna watu Mungu amewapa vipaji asee
 
Zawadi Mdoe alikua kichwa sana. Nahisi anasoma masters sasa hivi maana kamaliza degree ya kwanza udsm akisomea chemical and industrial engineering akipata GPA ya 4.9. Deadboy endelea kutupa hizi stori za best students Kama unazo
Aiseee naomba unidokeze vizuri kuhusu hii course ya chemical and industrial engineering
 
Kwa Anae Mjua Mwl [HASHTAG]#Masaki[/HASHTAG] Ipagala A Salute Kwake Mungu Ambariki Maana Nilijua Hesabu Kwa Fimbo Zake
 
Kwa Anae Mjua Mwl [HASHTAG]#Masaki[/HASHTAG] Ipagala A Salute Kwake Mungu Ambariki Maana Nilijua Hesabu Kwa Fimbo Zake
 
Ningependa kujua historia ya John Challange.... kwaSasa ni telecom engineer ila anafundisha twishen pale mwenge (eku 345)
 
Montserrat.jpg

Huyu Binti ndio anaitwa IMMACULATE MOSHA aliyekuwa wa kwanza FORM 4 ,2009 akifuatiwa na GWAMAKA..Binti alipohojiwa TBC akasema kama GWAMAKA akinipita FORM 6 nitakubali anioe bure kabisa.Matokeo ya 6 yeye na GWAMAKA wote walipata one ya 4 na wote wakaingia TOP 10 ila IMMACULATE wa 5 na GWAMAKA wa 8🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Yuko microsoft huyu dada.
 
Back
Top Bottom