Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

kweli kabisa na hii ndo changamoto ya elimu ya africa mwalimu kambarage wakati anadhani siku moja tutakuwa na wasomi wa kubuni na kijenga technology yt wenyeww ili tusipigwe kwy madini mpk leo bila bila ...watachimba wenyewe wakipata elimu n ujuzi...soo sad....africa
 
Kilichoniacha mdomo wazi ni kuona namba kubwa ya watu tunaojadiliana na pengine kubishana kwenye issue genuine majukwaa mengine; hapa wanaongelea O'level 2010, mara 2012.

Nimepita mchikichini, mkali wa hisabati eneo lile alijiita Hidden Agenda, Mbuga akipiga Biology na Chemistry, Physics akikaba jamaa mmoja aliyekuwa akisoma UDSM akifundishia pale pembeni ya Uwanja wa jangawani(Yanga)

Daaaaah.....2012??? Nahesabu miaka kwenye ndoa!
Wewe ulimaliza lini ili uwajue waliokuwa kwenye ndoa wakati wewe unasoma humu
 
Vipi kuhusu TO mwaka 2006 Tosa Maganga bwana Elias Kihombo
 
Alijitahidi
Sylivester nimebahatika kusoma naye. Tumekaa wote bweni moja scandia. Sijawahi kuona mtu anayejua Maths kama yule. Siku moja katika mtihani wa Maths aliomba karatasi ya ziada baada ya saa moja na nusu huku Mtihani ukiwa ni wa masaa mawili na nusu. Mwalimu Majala wa Maths ndo alikuwa msimamizi akamletea karatasi kucheck akaona jamaa ameshamaliza mtihani wote na hata hajafuta chochote.Mwalimu akamuuliza ile karatasi ameomba ya nini ? Sylivester akamjibu ni ya kuprove majibu yake Mwl Majala akamnyima karatasi na kuchukua zile answer sheets zake na kutukana kwambs watu wengine bana unaomba karatasi wakati umemaliza mtihani wote akamwambia akusanye atoke nje. Majibu yalipokuja ana 99% Kumbuka mtihani ulikuwa umetungwa na Mwl Urio mtaalam wa hesabu na siyo mwl majala

Mwl majala alikuwa mvivu alikuwa anasema atafundisha topic mbili tu za Maths form five na form six. Ila kama unataka kumkomoa feli na anaongezea kuwa ila ukifaulu na kuwa wa kwanza kitaifa ni yeye atakayeenda bungeni kuchukua zawadi kama mwl wako

Sylivester tunaye udsm anachukua Masters of science in structural engineering
 
Mbona kama nakujua wewe kibaha boy 2010-2012 nilikua pangani majala alikua anajua mpira tu.. ila jamani shule za serikali hazina walimu yani unakutana na mwalimu kama waitara ndo anafundisha Form six yani simple questions tu zinamtoa jasho
 
Back
Top Bottom