sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 3,334
- 7,651
Huyu ni nani wakuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lusekelo T O form six 2002 Mzumbe olevel meta secondary mbeya kama sikosei huyu jamaa alitamba sana enzi hizo kuna kipindi alikuwa ameajiliwa na Vodacom Tanzania sijui kwa sasa yuko wapi?
Atakuwa yupo kule mchikichini huenda hili janga la corona limesababisha wasipige mapindiIblis Bin Shetan,
Hivi hidden agenda yuko wapi?
Hata wewe ni BRN na inaonekana
1. Slide ruler hukutumia
2. Vine and Rees (a.k.a) hukusoma wewe na labda na wewe ni kizazi cha madesa
3. Inaonekana wewe hakuwahi kufanya dissection ya wale panya weupe kutoka mzumbe
4.Inaonekana hata wakati unasoma hujawahi kusafirishwa na serikali kwa warrant huku ukipewa mkate wa kula njiani
Acha rongo we !!! 2005 juzi tuu wakati
1.biological science zimesambaa ni nani wa kizazi hicho kwenda kutafuta pointi zilizojificha kwenye "mkate"?
2.2003 na kuendelea scientific calculator zimejaa ni nani wa kizazi hicho wa kukokotoa kutumia rula?
3.2003 na kuendelea ndio tuition za A level zimeshamiri na vijana wakawa wanapiga A kwa kutumia material ambayo yamekwisha kuwa digested na kuwekwa kwenye madesa?
4.Sina shaka yoyote kuwa dissection umefanya lakini PANJA weupe kutoka mzumbe umewakuta au umetumia mapanya koko?
na slide ruler je!?bro siwezi nikabadilisha mawazo yako ila dissection nilifanya, log nilitumia .. sina sababu ya ku prove kwako
Mimi ndie Njegite nipo na kimatale hapa mtefu ametutokaHyu alikua mwanafunzi wangu...hyu dogo akiwa meta nilimfundisha sana kuna kipindi nimekutana nae alinikumbuka akasema mimi ndy mkali wake..nakumbuka tabia yake akija kupigwa physics na math alikua anakunja daftar na anaweka mfuko wa nyuma..kwa sasa yupo RuCo nadhani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kundete Mimi namjua na alikuwa jamaa yangu sana .Deadbody unampata mwamba mmoja toka ilboru wakuitwa Michael Kundete 2007 alipga iyunga aliongoza, akaenda a- lev pcb 1.3 ilboru 2010 hapo yeye ndo aliongoza
akaenda MD Muhimbili.
S0110/0607
M
MICHAEL KUNDETE
3
I
G/STUDIES-S PHYSICS-A CHEMISTRY-A BIOLOGY-A BAM-
![]()
Nani huyo
Mmmmmmmm si mchezoooShahidi namba moja nipo hapa, huyo mwamba akiwa form six, mimi nilikuwa form five PCB, mwamba aliitwa Matango solver,yaani maswali magumu ya hesabu ilikuwa mpelekee yeye tu, yeye hesabu alikuwa anatembea na 100%
AiseeShahidi namba moja nipo hapa, huyo mwamba akiwa form six, mimi nilikuwa form five PCB, mwamba aliitwa Matango solver,yaani maswali magumu ya hesabu ilikuwa mpelekee yeye tu, yeye hesabu alikuwa anatembea na 100%
Mkuu, huyo jamaa hadi Monduli pale Military Academy wana habari yake. Kwenye intake yake alifanya wonders kama kawaida.Kundete Mimi namjua na alikuwa jamaa yangu sana .
Very humble citizen
Pale iyunga Boyz watu walikuwa wanamchukulja poa hakua anavuma sana Ila alikuwa yupo .
Kulikuwa na watu Kama akina ,tibinura ,godwin Ezra,na wengine hao wadau wakajua watandika Saba Saba [emoji1787][emoji1787]
Kundete mock akipiga one ya 14 Kama sikosei Ila alikuwa na A ya math hao wengine watabe walipiga za one za Tisa na nane
Kundete alikuwa anachimbia chemba za mafichoni kwenye bweni Ni kusovu tu na mdau mzuri sana wa vipindi vya Dini TYcs
Ilipokuja necta watu hawakuamini macho yao[emoji44][emoji45][emoji86]
Kundete akakandamiza div.1.7 ilikuwa gumzo shuleni pale tenna ile one ya Saba inayowekewa kivuli Cha zambarau [emoji1787]
Wale watabe wengine wakapiga kuanzia point 9 hapo katika point hakukua na mtu[emoji1787]
Akaenda ilboru PCB advance watu wakajua kabahatisha mdau akakupigia div 1.3 [emoji45][emoji44]
Noma sana
Chuo akaingia muhas Napo kapiga vizuri sana pale akahitimu udaktari 2015 pale muhas Kama sikosei
Nikaja kusikia(Sina uhakika) jeshi limemchukua hakupiga hata intern akapelekwa monduli military academy akamaliza na nyota akarudi muhimbili kupiga internship yake nowadays sijui Yuko wapi
Ila moja Kati ya watu niliowakubali Ni huyu jamaa Michael Robert Kundete jamaa ukimwona alivo simpo huwezi dhani kichwa chake kilivyo Moto darasani .
Mimi nawakubali jamaa wale wanaoibuka from nowhere na kufanya wonders dunia nzima inashangaza[emoji1787][emoji1787]
Bro michael kokote uliko Nakuombea ufanikiwe sana
Cc Deadbody
Sent using Jamii Forums mobile app