chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
- Thread starter
- #21
Mimi mwanachama wa chademaHata wewe unalalamika juu ya utendaji wa mahakamaccm?
Sasa jipange kisawasawa kuungana na wanaodai katiba mpya itakayoondoa makandokando haya unayoyalalamikia na uache kuwadharau kina Mbowe walio front line ikibidi ungana nao kwenye maandamano.