"Maadili ya Kitanzania" yameandikwa wapi nikayasome?

Hapa kuna hoja na wala usipuuzwe!

Wabunge njooni hapa mtoe ufafanuzi!
 
Ukiyapata nitag mkuu
 
Maadili yetu yapo mioyoni mwetu hayajaandikwa popote (Un written customs)
 
Pamoja na maelezo mazuri,hujajibu swali
 
Safi kabisa
 
Mi niliwahi kualikwa kwa mwanajeshi mmoja kula pilau la idd nikavaa zangu jeans nyembamba sana nikashangaa anaeni mind ni dingi mmoja mstaafu amevaa suruali ina viuno viwili. Yaani kuna kimoja kiko tumboni kina mkanda na kingine kiko chini yake nacho kina mkanda, nikasema dah hata kama ni upedeshee hii hamna. Suruali inakuwaje na sehem 2 za kuweka mkanda, hii nayo si kukosa tu maadili?
 
Waafrika wamekuwa wanakata viuono kwa karne nyingi sana, huelewei chochote wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…