Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

MAadili yakokoyo.

Wamemuua ben saanane ndio maadilo unayoyataka.
Kiufupi tunawabea ubaya yaani
 
Tatizo letu kuu kama Taifa ni "HAKI" ikionekana kwenye Nchi moja ambayo Mungu amewapa na ikatokea baadhi ya wana wa Nchi wanajiona wana haki kuliko wengine lazima mmomonyoko mkubwa wa Utu kutokomea. Viongozi wetu wanayodhamana kuturudisha kwenye mstari kwa kutuunganisha. Makundi yote yaje pamoja kama wana wa Tanzania wakiwa na Haki sawa tujadili pamoja kama Taifa! Kujihesabia kundi la watu Fulani ndio wana haki ndio tatizo kuu.
 
Mlimtoa Dr. Mipango mbiombio kuja kuwaprove watu wrong akiwa mgonjwa tena anakohoa.

Imeshindikana nini kufanya hivyo kwa huyu?

Mwaka juzi wakati amezushiwa ndani ya siku mbili tu alijitokeza na kuwaprove watu wrong, inashindikana nini sada hivi?

Mnatumia nguvu kubwa sana.
 
Hakuna haki ndiyo maana.
 
Kulingana na aina ya uchafu ndivyo taka itakavyotupwa
Duuuuh!!
Kwamba kuna uchafu mwingine unaushika kwa chepe na hata ukiurusha hutamani hata kuuona tena.
Wakati huo kelo yake haitoki moyoni.
 
Nashauri sote tujitahidi sana kutoa baraka kwa wengine badala ya laana, na kupenyeza maneno na matendo ya upendo badala ya chuki.

Mtu yeyote anayemtakia mabaya mwingine, hata akiwa adui yake, mabaya yanamrudia mwenyewe! Kwa mantiki hiyo kumfanyia mwingine wema, hata mkosaji, wema utakurudia mwenyewe maradufu!
 
Hayo maneno yakarudiwa tena bungeni na BULEMBO na hakuna aliyeyakemea; sasa tutaona atakayetangulia kati ya yule waliomchulia na wao!! Ever heard of KARMA?
Inanikumbusha Samwel Sita alivyomchulia Mamvi, yeye katangulia kamwacha Mzee Mvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…