Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

Wakati wa Lissu walikataa asiombewe apone. Na sasa tusisikie mtu akisema wananchi wamwombee. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uwongo ndugu zangu,
 
Mungu wanasema yuko Tz ndiyo maana hakuna Covid 19. Alisema Stone Tangawizi kuwa wao waache wajilock down sisi tuzalishe mazao kwa wingi kisha wakitoka locj down tuwauzie. Jamaa wakaona hiyo ni dharau wakapiga narufuku kununua mahindi yetu. Kabla hatuja fungua macho bwana madharau akapelekwa huko hoi. Sasa huko atake asitake lazima achanjwe
Mungu siyo Amstwrdam
 
Tafakari ni ngumu, hasira imetawala, na hasira inapotawala matokeo ni kilio maana hasira huketi kwenye kiti cha enzi cha ufahamu, ambapo mwisho wake ni kuangamia.
 
Tumebaguliwa sana katika serikali hii ya awamu ya tano, serikali gani inayojivunia raia wake kuumia??? ilipaswa kuwa serikali inayojali maisha ya wananchi wake, inayojali uhai wao kuliko chochote. Swali la msingi, je tumefikaje hapa???

CCM inapaswa kujitafakari sana, Itafakari mchakato wa 2015 kama ulikuwa halali na wa haki, ijiulize ilikosea wapi?? Ilifanya propoer vetting kumpata mgombea wa kiti cha uraisi?? au ilikuwa ni bora kuruhusu wasiyemjua vizuri aingie ikuru kuliko kuruhusu mzee wa mahaba wanayemjua asiingie ikuru???
 
Hivi kwa mfano kwa huyu jamaa unalilia nini? Nyerere tulimlilia kwa kuliunganisha Taifa kuwa kitu kimoja bila kujali makabila yetu na alituunganisha kwa lugha moja ya Kiswahili. JK alijitahidi kuiacha demokrasia ichukue mkono wake. Utawala wa sheria ulitamalaki. Sasa huyu ni kipi cha kumliza mtu? Mbuga ya Chattle? Kupigwa risasi kwa Lissu? Nini kitakuliza?
Kutuachua uchumi wa kati[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama Mungu akimpenda zaidi Mzee Shakaza naamini kuna Watanzania zaidi ya nusu watapika pilau kwa huzuni
Mmh?wapike pilau Tena kwahuzunu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Chadema siku zote hushangilia mtu wa ccm akipata shida no matter what!

Na matapata tabu sana hadi 2025 lazima mnye dagaa
Kwa sentensi hizi alafu unadhani mtu atahuzunika ukiondoka (sana sana utampunguzia masimango)

Hizi Siasa na SISI na WAO tena iliyoletwa sana na AWAMU hii ndio imeleteleza kuongeza UFA wa utengano katika TAIFA letu

Wapi Turn the Other Cheek ?, With Great Power Comes Great Responsibility huwezi kuwa unaoongoza nchi (kama CHAMA) alafu ukadhani unaongoza CHAMA chako kama wengine ambao hawana CHAMA au ambao sio CHAMA chako sio watanzania au walipa Kodi... Badala ya kuhangaika na Udini na Ukabila sasa kuna Uchama....
 
Unapendeza sana mbele ya kundi hili dogo la chadema maana ndio njia ya kupoza machungu ya kugongwa kwenye uchaguzi, na mkiendelea na ujinga huu hata 2025 hampati mbunge hata mmoja.
Hebu naomba niulize kila mtu anamuombea jiwe mungu ampende zaidi niwachadema nakama jibu ndio basi siokundi dogo Kama mnavyowaita maana mmh?
 
Chadema siku zote hushangilia mtu wa ccm akipata shida no matter what!

Na matapata tabu sana hadi 2025 lazima mnye dagaa
😅😅😅😅😅mtakula wa chuya. Wenye nchi muombeeni. Si nyie ndio wenye nchi??
 
Back
Top Bottom