agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Hao mabint wanatongoza waume zenu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe yaonekana ndoa yako imekusida, sasa unatafuta zijisaau tu vya ovyo, achana na mabinti na wanachuo,mutuze mumeo uone kaa atatoka nje ya ndoa, siamini ukimpa mumeo kila kitu, umupatie pia heshima atakua anatanga tanga LA, lakini nyinyi wake wengine mukisaolewa ndio basi, heshima hamna, hata munaacha kuvaa vizuri, sasa kwanini nisione kake kasichana ka mwaka wa pili hapo mzume au uni hapo dar amako kanavaa poa, kanajua heshima, kwanini nishugulike na wewe ambae hata heshima hunipi, KAKUDIVORCE NAKAOA HAKO KABINTI KA CHUOMabinti,mabinti,mabinti,tena wa secondary na chuo wamekuwa na tabia mbaya sana
Siku za nyuma mabinti walikuwa wanaogopa wanaume walio oa lakini siku hizi ndo wanakimbiliwa sijui kwa nini
Siku hizi mabinti ndo wamekuwa michepuko kwa watu walio oa na wengine wanadiriki kuvuruga ndoa mke na mume kisa yeye aolewe na hii tabia hasa ipo kwa wanawake wa chuo
Ewe mama ukiona ndoa yako inayumba kuna mwanachuo pembeni amekaba chance na anaitaka kwa nguvu na kama mwanaume ana vijisenti ndo kabisaa
Mabinti wa secondary wenyewe hawana muda na wanawake wa wanaume wanaotembea nao,cha msingi wanapata vihela vya chipsi lakini hawa wanachuo pamoja na kutaka kuhudumiwa wapo radhi mwanaume amfukuze mke wake ili abakie yeye mwenyewe
Wanawake tafuteni wanaume wenu,mbona vijana wengi tu ni masingle,kwa nini avuruge ndoa za watu?
Inauma sana
ameshidwa na ndoa yake huyu muacheHao mabint wanatongoza waume zenu?
Pole sana mama.Mabinti,mabinti,mabinti,tena wa secondary na chuo wamekuwa na tabia mbaya sana
Siku za nyuma mabinti walikuwa wanaogopa wanaume walio oa lakini siku hizi ndo wanakimbiliwa sijui kwa nini
Siku hizi mabinti ndo wamekuwa michepuko kwa watu walio oa na wengine wanadiriki kuvuruga ndoa mke na mume kisa yeye aolewe na hii tabia hasa ipo kwa wanawake wa chuo
Ewe mama ukiona ndoa yako inayumba kuna mwanachuo pembeni amekaba chance na anaitaka kwa nguvu na kama mwanaume ana vijisenti ndo kabisaa
Mabinti wa secondary wenyewe hawana muda na wanawake wa wanaume wanaotembea nao,cha msingi wanapata vihela vya chipsi lakini hawa wanachuo pamoja na kutaka kuhudumiwa wapo radhi mwanaume amfukuze mke wake ili abakie yeye mwenyewe
Wanawake tafuteni wanaume wenu,mbona vijana wengi tu ni masingle,kwa nini avuruge ndoa za watu?
Inauma sana
we ulikuwa wapi muda huo?Vibinti vya chuo balaa. jamaa yangu alikachukua kamoja kakaja na mwenzie mkewe alikua amesafiri wakiwa sitting room kale kademu kamoja kakaja kumkalia jamaa wakawa wanakulana denda kama la wema sepetu mbele ya mwenzie. genye zilipowapanda kale kademu kakamwambia mwenzie sie tunaingia ndani kugegedana kenzie kakasema poa hapo jamaa na usomi na pesa zake alikua kama poyoyo anaitikia na kucheka cheka tu. Akazama ndani akaanza kukagegeda wakiwa kwenye game kakamambia rafiki yangu nae ametamani namuita aje umpe kidogo. Utadhai movie hiyo ndo hali halisi ya mabint wa chuo. waliona mshikaji ana mkwanja wa maana. Baada ya kugegedana sana jamaa alichunwa kama 150
Hapo kwenye kudekezwa hapo na kauli laini za mahaba, heri nichunwe pesa kitu gani ila moyo uwe baridiiii! Unakula tunda baada ya romance ya maana mtoto wa kike full kulainika unajimegea tunda kama kwenye movie yani! Mtoto anawajibika kila idara kuanzia kichwani mikononi mpaka miguuni kupo active katika shughuli! Kuna raha kuwa na mtu akufanyae ujihisi unapendwa hata kama sio kweli ila kwa lugha laini inayoakisi upendo!Ndoa zina mitihani mingi sana, unaweza laumu watoto wa chuo ila jee wewe kama mke umefanya nini chakumfanya mumeo aone nje hakuna jipya na wewe ni fundi zaidi ya hao wanje?
baadhi ya Wanawake wengi tulio kwenye Ndoa hua tunasahau majukumu kama wake kuna wengine wakisha zaaa ndio amezaa Dunia yeye mda hana yeye kachoka kila kitu dada, haogi mpaka mda wa kwenda kulala, mume hapikiwa tena na yeye dada ndio anapika, kukaribisha mumewe nyumbani hana mda wengine mpaka vitanda Dada ndio anatandika sasa kwa style hii unadhani
ampate mtu nje anaemdekeza kwako anapata lipi la ziada? yes wanakosea kuchukua waume za watu ila ipo sababu na mara nyingi
sababu hua nyumbani kila mara ugomvi jambo dogo mke kakuna week nzima.
wacha niishie hapa manake nimarefu,tuombe mwenyezi mungu atupe subra.
[emoji121]Mabinti,mabinti,mabinti,tena wa secondary na chuo wamekuwa na tabia mbaya sana