Maadui wa ndoa na mahusiano yetu ni mabinti

Maadui wa ndoa na mahusiano yetu ni mabinti

[emoji23][emoji23][emoji23] nyambavu [emoji38][emoji38][emoji38]
Tatizo sio hivyo tatizo umemkuta mtu na familia yake unaivulia heshima nakuingia kwake nakumtoa eti kisa wewe fresh uolewe tafuta wako tatizo sio mboga ile ile tatizo ni jua mahali pako usivuke mmpaka nikija kuolewa mtanijua nyie msio na haya nyambavu.
Mwanaizaya msio na haya mnambwembwe.
Kama nini .
Namkiolewa nanyie mtakuja kuona uchungu wake.
 
Pole sana, Kumbuka Maisha ni Mzunguko wengine waliwafanyia hizi Wanawake wenzao kipindi wako Chuo, wakamaliza Chuo, wakaolewa kwa hiyo ni zamu ya walioko Chuoni muda huu nao watamaliza, wataolewa, watawalalamikia wenzao wa Chuoni. Kama ulimfanyia mwenzip hivyo tulia hivyohivyo nawe unyolewe ( Hii ndio maana halisi ya Karma)
 
Hakuna mkosi kama kuingilia ndoa ya mtu hata mtoto atakayepatikana hapo hatapata baraka yeyote. Anyways unatoka na mume wa mtu hujisikii aibu?baadae umri ukienda unaanza kulia lia Hamna wa kukuoa. Unatembea na binti mdogo akipata mimba ndio unaanza kuhaha na baadae ni kusambaratika kwa ndoa yako uliyoijenga mda mrefu. Akili zako zikiendeshwa na huko chini mda wote utakachoambulia ni mabalaa
 
Vibinti vya chuo balaa. jamaa yangu alikachukua kamoja kakaja na mwenzie mkewe alikua amesafiri wakiwa sitting room kale kademu kamoja kakaja kumkalia jamaa wakawa wanakulana denda kama la wema sepetu mbele ya mwenzie. genye zilipowapanda kale kademu kakamwambia mwenzie sie tunaingia ndani kugegedana kenzie kakasema poa hapo jamaa na usomi na pesa zake alikua kama poyoyo anaitikia na kucheka cheka tu. Akazama ndani akaanza kukagegeda wakiwa kwenye game kakamambia rafiki yangu nae ametamani namuita aje umpe kidogo. Utadhai movie hiyo ndo hali halisi ya mabint wa chuo. waliona mshikaji ana mkwanja wa maana. Baada ya kugegedana sana jamaa alichunwa kama 150
Nitafutie namba za hivyo vibinti mkuu
 
Wewe yaonekana ndoa yako imekusida, sasa unatafuta zijisaau tu vya ovyo, achana na mabinti na wanachuo,mutuze mumeo uone kaa atatoka nje ya ndoa, siamini ukimpa mumeo kila kitu, umupatie pia heshima atakua anatanga tanga LA, lakini nyinyi wake wengine mukisaolewa ndio basi, heshima hamna, hata munaacha kuvaa vizuri, sasa kwanini nisione kake kasichana ka mwaka wa pili hapo mzume au uni hapo dar amako kanavaa poa, kanajua heshima, kwanini nishugulike na wewe ambae hata heshima hunipi, KAKUDIVORCE NAKAOA HAKO KABINTI KA CHUO
Keyword: HESHIMA

[emoji41]
 
Mume hawezi kuibiwa. Alichounganisha Mungu binadamu hawezi kukitenganisha. Wanawake wanasahau sana nafasi zao kiroho kwenye maisha ya ndoa. Upo na Mungu aliyewaunganisha kiasi gani? Nguvu unayotumia kuwa na wasiwasi na kushindana itumie rohoni katika sala na kumjua Mungu kweli.
 
Back
Top Bottom