babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,187
Kulikon bibie?Mmuuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikon bibie?Mmuuuh
Mwamuzi mwanaume, we kuwa mpole hakuna mwanaume wa mwanamke 1 vilevile hakuna mwanamke wa wanaume wengi,Kwa nini asitafute wa kwake,kwan wameisha?
I will fight with my situationJe wewe yakikukuta unafanyaje? Sasa hivi unawafanyia wenzio
Hhaahah,hata nicheke mie
Tatizo sio hivyo tatizo umemkuta mtu na familia yake unaivulia heshima nakuingia kwake nakumtoa eti kisa wewe fresh uolewe tafuta wako tatizo sio mboga ile ile tatizo ni jua mahali pako usivuke mmpaka nikija kuolewa mtanijua nyie msio na haya nyambavu.Zamani mwanaume 1 alikuwa anaowa wanawake hata 4 -5 nk sasa wewe unataka mmeo awe wako tu wenzio hutaki nao wapate mhogo uwe unawahurumia.
dada barikiwa sana...........umewakilisha jinsia yako vema na ujumbe umefika.........Ndoa zina mitihani mingi sana, unaweza laumu watoto wa chuo ila jee wewe kama mke umefanya nini chakumfanya mumeo aone nje hakuna jipya na wewe ni fundi zaidi ya hao wanje?
baadhi ya Wanawake wengi tulio kwenye Ndoa hua tunasahau majukumu kama wake kuna wengine wakisha zaaa ndio amezaa Dunia yeye mda hana yeye kachoka kila kitu dada, haogi mpaka mda wa kwenda kulala, mume hapikiwa tena na yeye dada ndio anapika, kukaribisha mumewe nyumbani hana mda wengine mpaka vitanda Dada ndio anatandika sasa kwa style hii unadhani
ampate mtu nje anaemdekeza kwako anapata lipi la ziada? yes wanakosea kuchukua waume za watu ila ipo sababu na mara nyingi
sababu hua nyumbani kila mara ugomvi jambo dogo mke kakuna week nzima.
wacha niishie hapa manake nimarefu,tuombe mwenyezi mungu atupe subra.
yote uliyoandika ni point tupu ila hili la NYUMBANI KILA MARA UGOMVI umenigusa yaani mke akishakuona huna maneno anajisahau anaona anaweza amrisha au kuamua chochote nyumbani, kitu kidogo tu anawaka sana kuliko tatizo lenyewe, tusiopenda makuu tunakwenda zetu hoteli kupumzika hadi jioni ndio kurudi home umeshaoga kabisa.Ndoa zina mitihani mingi sana, unaweza laumu watoto wa chuo ila jee wewe kama mke umefanya nini chakumfanya mumeo aone nje hakuna jipya na wewe ni fundi zaidi ya hao wanje?
baadhi ya Wanawake wengi tulio kwenye Ndoa hua tunasahau majukumu kama wake kuna wengine wakisha zaaa ndio amezaa Dunia yeye mda hana yeye kachoka kila kitu dada, haogi mpaka mda wa kwenda kulala, mume hapikiwa tena na yeye dada ndio anapika, kukaribisha mumewe nyumbani hana mda wengine mpaka vitanda Dada ndio anatandika sasa kwa style hii unadhani
ampate mtu nje anaemdekeza kwako anapata lipi la ziada? yes wanakosea kuchukua waume za watu ila ipo sababu na mara nyingi
sababu hua nyumbani kila mara ugomvi jambo dogo mke kakuna week nzima.
wacha niishie hapa manake nimarefu,tuombe mwenyezi mungu atupe subra.
njoo basi kwangu inbox tuyajenge kwa raha zetu.Wanaume was level zetu wanalele na wamama like vibesen sasa ili tuende sawa na hawa wamama vibenten tuatoka na waume zao kwa raha zetu kama roho zinawauma watajibeba
Mabinti,mabinti,mabinti,tena wa secondary na chuo wamekuwa na tabia mbaya sana
Siku za nyuma mabinti walikuwa wanaogopa wanaume walio oa lakini siku hizi ndo wanakimbiliwa sijui kwa nini
Siku hizi mabinti ndo wamekuwa michepuko kwa watu walio oa na wengine wanadiriki kuvuruga ndoa mke na mume kisa yeye aolewe na hii tabia hasa ipo kwa wanawake wa chuo
Ewe mama ukiona ndoa yako inayumba kuna mwanachuo pembeni amekaba chance na anaitaka kwa nguvu na kama mwanaume ana vijisenti ndo kabisaa
Mabinti wa secondary wenyewe hawana muda na wanawake wa wanaume wanaotembea nao,cha msingi wanapata vihela vya chipsi lakini hawa wanachuo pamoja na kutaka kuhudumiwa wapo radhi mwanaume amfukuze mke wake ili abakie yeye mwenyewe
Wanawake tafuteni wanaume wenu,mbona vijana wengi tu ni masingle,kwa nini avuruge ndoa za watu?
Inauma sana
Wamchukue tu wamchune, wamvurugeee ila wasimpe ngoma, jioni arudi home tulee watoto wetu.
Sasa si ndio kashajitafutia huyo.....hivi kutafuta mtu wakwako mnaona ni rahisi sana eehh?Kwa nini asitafute wa kwake,kwan wameisha?
Usipotimiza majukumu yako ata vibibi vitakuibia mume..Lazima niwe na wasi wasi maana ninayoyashuhudia ndo yenyewe