Maadui wa ndoa na mahusiano yetu ni mabinti

Maadui wa ndoa na mahusiano yetu ni mabinti

Mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi, sio mmoja'

ukiona mwanaume Ana mwanamke mmoja tu tambua kwa uhakika kbsa anaishi maisha magum mno!

Nikwambie kitu mrembo......????
Unaweza kulala na mwanaume\mumeo, mkapiga kimoja tu na akashindwa kbs kuendelea.. Amechoka!

Akitoka akienda sebuleni akakutana na housegirl kishep flan na vichuchu under 18,
Anapiga show ya kibabe huwezi amin!

Wake hamjiongezi mkishaolewa tu mnaacha umalaya! Badala ya kuongeza umalaya kwa mumeo! Mnalala sana!

Utasikia...kwani unakosa nn kwangu!!
Sijui nn na nn....!!! Unaanza kulia! presha juuu! Kwa uzembe wako unakufa!!
 
Zamani mwanaume 1 alikuwa anaowa wanawake hata 4 -5 nk sasa wewe unataka mmeo awe wako tu wenzio hutaki nao wapate mhogo uwe unawahurumia.
Tatizo sio hivyo tatizo umemkuta mtu na familia yake unaivulia heshima nakuingia kwake nakumtoa eti kisa wewe fresh uolewe tafuta wako tatizo sio mboga ile ile tatizo ni jua mahali pako usivuke mmpaka nikija kuolewa mtanijua nyie msio na haya nyambavu.
Mwanaizaya msio na haya mnambwembwe.
Kama nini .
Namkiolewa nanyie mtakuja kuona uchungu wake.
 
Wanawake walio olewa wengi wakishaolewa wanajiona wao wako peponi na kusahau km na wao walikuwa mabinti na kuwaona mabinti wasioolewa km ndio chanzo cha ndoa kuyumba wanasahau kwamba hao mabinti wametongozwa na wanaume zao na kuahidiwa ahadi kedekede .
 
Ndoa zina mitihani mingi sana, unaweza laumu watoto wa chuo ila jee wewe kama mke umefanya nini chakumfanya mumeo aone nje hakuna jipya na wewe ni fundi zaidi ya hao wanje?

baadhi ya Wanawake wengi tulio kwenye Ndoa hua tunasahau majukumu kama wake kuna wengine wakisha zaaa ndio amezaa Dunia yeye mda hana yeye kachoka kila kitu dada, haogi mpaka mda wa kwenda kulala, mume hapikiwa tena na yeye dada ndio anapika, kukaribisha mumewe nyumbani hana mda wengine mpaka vitanda Dada ndio anatandika sasa kwa style hii unadhani
ampate mtu nje anaemdekeza kwako anapata lipi la ziada? yes wanakosea kuchukua waume za watu ila ipo sababu na mara nyingi
sababu hua nyumbani kila mara ugomvi jambo dogo mke kakuna week nzima.

wacha niishie hapa manake nimarefu,tuombe mwenyezi mungu atupe subra.
dada barikiwa sana...........umewakilisha jinsia yako vema na ujumbe umefika.........
 
Ndoa zina mitihani mingi sana, unaweza laumu watoto wa chuo ila jee wewe kama mke umefanya nini chakumfanya mumeo aone nje hakuna jipya na wewe ni fundi zaidi ya hao wanje?

baadhi ya Wanawake wengi tulio kwenye Ndoa hua tunasahau majukumu kama wake kuna wengine wakisha zaaa ndio amezaa Dunia yeye mda hana yeye kachoka kila kitu dada, haogi mpaka mda wa kwenda kulala, mume hapikiwa tena na yeye dada ndio anapika, kukaribisha mumewe nyumbani hana mda wengine mpaka vitanda Dada ndio anatandika sasa kwa style hii unadhani
ampate mtu nje anaemdekeza kwako anapata lipi la ziada? yes wanakosea kuchukua waume za watu ila ipo sababu na mara nyingi
sababu hua nyumbani kila mara ugomvi jambo dogo mke kakuna week nzima.

wacha niishie hapa manake nimarefu,tuombe mwenyezi mungu atupe subra.
yote uliyoandika ni point tupu ila hili la NYUMBANI KILA MARA UGOMVI umenigusa yaani mke akishakuona huna maneno anajisahau anaona anaweza amrisha au kuamua chochote nyumbani, kitu kidogo tu anawaka sana kuliko tatizo lenyewe, tusiopenda makuu tunakwenda zetu hoteli kupumzika hadi jioni ndio kurudi home umeshaoga kabisa.
 
Wanaume was level zetu wanalele na wamama like vibesen sasa ili tuende sawa na hawa wamama vibenten tuatoka na waume zao kwa raha zetu kama roho zinawauma watajibeba
njoo basi kwangu inbox tuyajenge kwa raha zetu.
 
KWAKUWAA

SHAHAWA ANATOA MWANAUME PEKEYAKE SIOO KHA NTARUDI TENA
Mabinti,mabinti,mabinti,tena wa secondary na chuo wamekuwa na tabia mbaya sana

Siku za nyuma mabinti walikuwa wanaogopa wanaume walio oa lakini siku hizi ndo wanakimbiliwa sijui kwa nini

Siku hizi mabinti ndo wamekuwa michepuko kwa watu walio oa na wengine wanadiriki kuvuruga ndoa mke na mume kisa yeye aolewe na hii tabia hasa ipo kwa wanawake wa chuo

Ewe mama ukiona ndoa yako inayumba kuna mwanachuo pembeni amekaba chance na anaitaka kwa nguvu na kama mwanaume ana vijisenti ndo kabisaa

Mabinti wa secondary wenyewe hawana muda na wanawake wa wanaume wanaotembea nao,cha msingi wanapata vihela vya chipsi lakini hawa wanachuo pamoja na kutaka kuhudumiwa wapo radhi mwanaume amfukuze mke wake ili abakie yeye mwenyewe

Wanawake tafuteni wanaume wenu,mbona vijana wengi tu ni masingle,kwa nini avuruge ndoa za watu?

Inauma sana
 
Nawashauri pale mumeo anapomwingiza MFUKUNYUKU AKUFUKUNYUE wewe bana mlango kwa nguvu zote huku unalia nakusema nakusema nakufaaaaa.

Wenda ikapunguza mumeo kupita dirishan wakati ukubwa wake ni wa mlangoni.
 
Back
Top Bottom